Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,719
- 2,229
Habari za wakati huu wakuu
Naomba kuwasiliana na watu wenye uwezo na uzoefu wa kusimamia na kuongoza miradi ya shirika lisilo la kiserikali.
Kwa wale watu ambao waliwahi kufanya kazi kwenye mashirika kama wafanyakazi ,wasimamizi ,viongozi nk, naomba tuwasiliane pls ,
Pia naomba ushauri na maoni na hata uzoefu wenu wanajukwaa kuhusu uendeshaji wa shirika lisilo la kiserikali
Kuna mambo natamani niyafanye kwenye jamii yangu.
Natanguliza shukrani