haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 954
- 2,156
Watu wanasema wachaga wanapenda pesa, ila ukweli na utu wanao sana, sitaki ku generalize kwenye ubaya wala uzuri.
Katika harakati za ujana, nilikua na mahusiano na mrembo mmoja, ni mzuri kweli. Sikua na nguvu ya pesa, yule dada alinikubali zaidi kwa muonekano wangu, aoshee anahandsome boy.
Katikakati ya mahusiano akatokea jamaa mwenye nguvu ya uchumi, yule mrembo akaanza kuleta vituko na kikubwa zaidi tukiwa faragha akawa hatoi ushirikiano na mwisho wa siku alisema kua simridhishi.
nilijiona mnyonge nikajua tatizo lipo kwangu, kumbe tatizo ni kua ameshapiteza hasia na mimi, katika kujitutumua, nilienda duka la dawa moja kwa nia ya kununua viagra ili tu nimridhishe mpenzi.
Hapa ndo nikajua watu wenye utu bado wapo, yule dada aliponiona aliahangaa sana, umri na muonekano na kile ninachotaka kununua,
Akaniuliza, husimamishi, nikamwambia yasimama vizuri kabisa, akasema bao la pili wafika kama dk ngapi? Nikamwmbia kuanzia dk 20 na kuendelea.
Akaniambia dawa anazo lakini mimi sina ttzo la nguvu za kiume, akanipa ushauri kadha wa kadha na akaniuliza historia ya mwenza wangu. Hapo ndo akanifungua akili kua ttzo si mimi bali ni yule ambae sasa hana hisia na mimi.
Mpaka leo, sijawai tumoa chochote, sijui mkongo sijui izo za dukan sijawai na niko vizuri.
Nimajifunza
1. Hisia na utayari wa mwanamke unanafasi kubwa kwa yeye kuridhishwa
2. Watu weka wanaojali utu bado wapo wengi sana na yule muuza duka la dawa ni mmoja wapo.
3. Hata ukiwa handsome, kama hunahela, utayumba kimahusiano pale mihemko ya uhandaome wako ikishaisha na kuzoeleka.