Sky Eclat JF-Expert Member Oct 17, 2012 57,720 215,794 May 2, 2017 #2 Sasa mpaka mume anaamua kuoa kanisani mummy si ameshakudhalilisha vya kutosha. Mwache aende rizk ni mafungu saba.
Sasa mpaka mume anaamua kuoa kanisani mummy si ameshakudhalilisha vya kutosha. Mwache aende rizk ni mafungu saba.
KANYAMA JF-Expert Member Aug 7, 2011 1,495 2,305 May 2, 2017 #4 Sumu said: Mapenzi hayalazimishwi. Click to expand... Umesema kweli tupu. Binadamu tumeumbwa kila mtu na dizaini yake. Sijui walitaka abaki mpweke hadi lini. Was kazi kwakweli
Sumu said: Mapenzi hayalazimishwi. Click to expand... Umesema kweli tupu. Binadamu tumeumbwa kila mtu na dizaini yake. Sijui walitaka abaki mpweke hadi lini. Was kazi kwakweli
Paul Buchira R I P Aug 5, 2013 1,043 564 May 2, 2017 #5 Wanataka asipate dawa sio,tena kwakipindi kama hiki!! hukivuka tu!!!! Haahahh we kiboko
Hunyu JF-Expert Member Aug 19, 2014 4,774 4,323 May 2, 2017 #6 Sky Eclat said: Sasa mpaka mume anaamua kuoa kanisani mummy si ameshakudhalilisha vya kutosha. Mwache aende rizk ni mafungu saba. Click to expand... Dr hii kitaalamu inaitwaje, au ndo wedding eclipse.
Sky Eclat said: Sasa mpaka mume anaamua kuoa kanisani mummy si ameshakudhalilisha vya kutosha. Mwache aende rizk ni mafungu saba. Click to expand... Dr hii kitaalamu inaitwaje, au ndo wedding eclipse.
Sky Eclat JF-Expert Member Oct 17, 2012 57,720 215,794 May 2, 2017 #7 Hunyu said: Dr hii kitaalamu inaitwaje, au ndo wedding eclipse. Click to expand... Mkuu mimi si daktari plz.
Hunyu said: Dr hii kitaalamu inaitwaje, au ndo wedding eclipse. Click to expand... Mkuu mimi si daktari plz.
Nyoka_mzee JF-Expert Member Nov 26, 2016 3,695 5,522 May 3, 2017 #8 Sky Eclat said: Sasa mpaka mume anaamua kuoa kanisani mummy si ameshakudhalilisha vya kutosha. Mwache aende rizk ni mafungu saba. Click to expand... Nahisi huyu jamaa atakuwa ana manane
Sky Eclat said: Sasa mpaka mume anaamua kuoa kanisani mummy si ameshakudhalilisha vya kutosha. Mwache aende rizk ni mafungu saba. Click to expand... Nahisi huyu jamaa atakuwa ana manane
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,526 70,672 May 4, 2017 #9 Ama kweli maisha hayana formula