Watu wamechanganyikiwa mitaani

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
21,351
50,669
Aisee inasikitisha sana sijui nilipapendea stress ama kitu gani yaani watu wamepagawa hatari jamani tembea muoneni watu Wana shit hatari wanatukana wamekuwa waongo wanatukana hatari ila hawapigani yani wamekuwa wabishi na walevi hatari yaani ni kana kwamba wame jaribu mambo yote na sasa wanataka kujaribu KUFA. tuacheni tabia chafu tuwe wastarabu.
 
kuna siku nilimkuta jamaa kajiinamia nikampa hai vipi kaka aiseee nilikula matusi ambayo sikuwahi kuyasikia mpaka nkawa nacheka eti pua kama ki$imi cha punda 😂😂
images (3).jpeg

Mkuu, hivyo ndivyo pua lako lilivyo.
 
Back
Top Bottom