mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 896
- 1,457
Mbona watz tunakua wajinga kiasi hichi ? Usipende kuleta ujuaji kwenye fani za watu . Mtu usiku kucha upo Uwanja wa fisi alafu unataka utoe damu ? Ukifa je .
Hiyo damu haimwagi ujue, anapewa binadamu so lazima taratibu za kitabibu zifatwe tena kama ni mimi nakupima hadi HIVZa usiku. Aisee juzi juzi kulikuwa na kama katamasha ka kuchangia damu. Wakaja wataalamu yaani madokta na manesi wakihamasisha watu watoe damu. Watu walijitokeza ili c kwa wingi. Mimi nilijitokeza nikatoa damu.
Ila kuna watu walikuja wengi ila walishindwa kuchangia damu. Kwa maana ukitaka kutoa damu kwanza wanakupima urefu, uzito, umri, wanarekodi unapokaa, wanspima bp, sukari. Kitu ambacho ni mlolongo mrefu. Watanzania hawapendi kipimwa pimwa na kuandika majina yao mana wanajua mashilawadu kila kona
Ushauri wakitaka watu watoe damu zijae hata tank la mafuta waache mambo ya kuandika majina ya watu na umri na kupima pima watu. Mtu anataka akija atoe damu aondoke mambo ya unaitwa nani umri ya nini. Au kupimana pimana
HahahH ndio tutapita mbali kabisaaHiyo damu haimwagi ujue, anapewa binadamu so lazima taratibu za kitabibu zifatwe tena kama ni mimi nakupima hadi HIV
Hehe aende na damu yake chafuHahahH ndio tutapita mbali kabisaa
Hapana hauko sahihi kabisa... Hivyo vyote vilivyotajwa ni muhimu mno kwa DAMU SALAMA!Za usiku. Aisee juzi juzi kulikuwa na kama katamasha ka kuchangia damu. Wakaja wataalamu yaani madokta na manesi wakihamasisha watu watoe damu. Watu walijitokeza ili c kwa wingi. Mimi nilijitokeza nikatoa damu.
Ila kuna watu walikuja wengi ila walishindwa kuchangia damu. Kwa maana ukitaka kutoa damu kwanza wanakupima urefu, uzito, umri, wanarekodi unapokaa, wanspima bp, sukari. Kitu ambacho ni mlolongo mrefu. Watanzania hawapendi kipimwa pimwa na kuandika majina yao mana wanajua mashilawadu kila kona
Ushauri wakitaka watu watoe damu zijae hata tank la mafuta waache mambo ya kuandika majina ya watu na umri na kupima pima watu. Mtu anataka akija atoe damu aondoke mambo ya unaitwa nani umri ya nini. Au kupimana pimana
HIV wala si tatizo sana imagine mtoto wa miaka mitano awekewe damu yenye magonjwa ya kurithiHiyo damu haimwagi ujue, anapewa binadamu so lazima taratibu za kitabibu zifatwe tena kama ni mimi nakupima hadi HIV
Mshana... mimi ni member wa Damu salama..... (nilitaka kuongea uongo hapa ila roho imenisuta, ngoja niishie hapa.... ila uko sahihi)Hapana hauko sahihi kabisa... Hivyo vyote vilivyotajwa ni muhimu mno kwa DAMU SALAMA!
Kumbuka hii sio damu tu bali ni DAMU SALAMA! Na kwakweli wanafanya kazi yao vizuri
DAMU SALAMA sio HIV- tu ni mlolongo wa usalama kuanzia magonjwa ya kurithi mpaka ya kuambukiza! Ni DAMU SALAMA kwa kila kigezo
Anuani pia ni muhimu kwakuwa inabidi kuwe na takwimu sahihi na ni msaada kwako pia kwakuwa ikigundulika damu yako ina tatizo lolote watakufuta wakusaidie
Kwa taarifa yako ni kwamba sehemu pekee unapoweza kupima ukimwi na ukapata matokeo sahihi kwa asilimia 99 ni DAMU SALAMA
Mbona watz tunakua wajinga kiasi hichi ? Usipende kuleta ujuaji kwenye fani za watu . Mtu usiku kucha upo Uwanja wa fisi alafu unataka utoe damu ? Ukifa je .
Mbona watz tunakua wajinga kiasi hichi ? Usipende kuleta ujuaji kwenye fani za watu . Mtu usiku kucha upo Uwanja wa fisi alafu unataka utoe damu ? Ukifa je .
Acha uongo, HIV na magonjwa mengi tu hayapimwi hapo hapo..Wanakupima kwa faida yako mtoaji usije ukapata madhara baada ya kutoa hiyo damu..Ukitolewa damu bila kupimwa wataishia kuimwaga. Sasa kwanini usipimwe kabla?