Walipashwa wawe wanapanga foleni kulingana na jinsi walivyokata ticket. Hapo ndipo watu tulipashwa kuanza kujifunza ustaarabu. Na dereva anatakiwa aseme basi limejaa anapoona hakuna nafasi ya kutosha kufungua mlango freely. Kwa nini tugombee gari? Ni ushamba na upuuzi