Watu ambao mmekata tamaa nawapa njia hii ya uhakika ya kuzifungua njia zako .

Manfried

JF-Expert Member
Oct 11, 2024
1,189
3,803
Habari yenu wadau wa JAMIIFORUM.

Leo hii nataka kuwapa dondoo kuhusu MAISHA .

Watu wengi najua wanapitia magumu Sana wameomba sana Kwa MUNGU Ila wametoka 0-0 na wengine wameroga Sana Ila wametoka 0-0.

Siri iliyopo katika haya MAISHA ni (shukrani ).

Anza kuwaambia watu neno Asante na anza kumshukuru Mungu .

Kupitia kusema neno Asante fahamu tu utabarikiwa mambo mengi Sana kupitia hao WATU.

Na kupitia kumshukuru MUNGU basi utapata nguvu kubwa ya KIROHO na hiyo nguvu utaitumia katika kufanikisha mambo yako mengi Sana.

Mfano wewe ni jobless hauna kazi umejikatia tamaa na maisha epuka kulalamika au kuilalamikia serikali , anza kumshukuru MUNGU Kwa kufanya hivyo utazifungua njia zako za mafanikio mara-dufu.

Pia unapokuwa sehemu yoyote epuka kulalamika au kuwalaamikia watu kuhusu magumu unayopitia , hakuna MTU ambaye huwa anafurahia anapenda kusikia malalamiko ya MTU yeyote .

Kuna watu wametemgwa , wamefukuzwa Kazi, wamepoteza wapenzi hadi taraka Kwa tabaia zao za kulalamika -kulalamika huwa ni ishara kuwa wewe sio MTU imara.

Kuelekea kuufunga mwaka 2024 na kuufungua mwaka 2025 , hakikisha unauanza huu mwaka Kwa shukurani na kila siku jitahidi kukaa katika madhabau yako na kumshukuru MUNGU.
 
Haya mambo ni maraisi kuyaongelea ila ole wako yakikupata
 
Back
Top Bottom