Watu aina ya Mpina, Lissu, Gwajima, Ndugai, Bashiru, Makonda ,Bashungwa, Heche, Biteko Mwabukusi ,wakiongoza Nchi , Kila Raia atakua na Furaha !!.

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
25,565
78,052
Na Nchi itakua na Maendeleo makubwa sana Kwa nyanja zote .

Hawa watu unapofatilia Maisha yao , Utendaji wao wa kazi Kwa nafasi zao, Maono yaliyo Ndani ya hotuba zao, Kanuni, Imani ,falsafa na Itikadi zao kulihusu Taifa hili , utagundua kua Tuna watu tunaopaswa kujivunia kua nao kama Taifa.

Ila kwakua System Iko corrupted , Tunu hizi zinabaki kua zisizo na msaada .
 
Umeanza title vizuri umemaliza vibaya, hata nchi zilizoimarika kiuchumi na kisiasa sio kila raia ana furaha

Wengi watakuwa na furaha lakini sio kila raia
 
Kama unawaamini wanaweza kuwa viongozi wenye msimamo wa bila kutetereka basi naomba pia uweke na wizara wanazozimudu
Lissu Katiba na Sheria
Makonda mambo ya ndani
Endelea
 
Mkuu huwajui vizuri hao watu

Mpina,Lissu, Heche, makonda Bashiru ni watu wakali mno,kiongozi wa juu hapaswi kuwa na Kariba ya watu hawa.

Ndugai ana dharau Sana japo si mkali kama hao jamaa.

Bashungwa hapana sheria Kali kuliko uhalisia.

Biteko ana asilimia 10 kuwa kiongozi wa juu ila ana umagufuli fulani japo siyo mkali ana falsafa za kizamani.

Gwajima hata Hafai Kwanza ni muongo Sana
 
Hadi ndugai yupo kwenye ORODHA,kweli padre James inabidi akichane hicho kitabu Cha FURAHA,kisisomwe msibani!!!
 
Na Nchi itakua na Maendeleo makubwa sana Kwa nyanja zote .

Hawa watu unapofatilia Maisha yao , Utendaji wao wa kazi Kwa nafasi zao, Maono yaliyo Ndani ya hotuba zao, Kanuni, Imani ,falsafa na Itikadi zao kulihusu Taifa hili , utagundua kua Tuna watu tunaopaswa kujivunia kua nao kama Taifa.

Ila kwakua System Iko corrupted , Tunu hizi zinabaki kua zisizo na msaada .
Naomba niendelee kufanya mchujo,bashite toa,Mzee wa Galilaya alisha haribu hata kama sii kwa hiari yake,Hata Gwajiboy anawauza kondoo iweje kwenye sii hasa.
 
Bashungwa ana jipya gani sasa amekaa wizara nyingi lakini utendaji ni ule ule wa kawaida,nadhani utendaji wake wa kimazoea unamfanya Rais amuhamishe wizara kila baada ya kipindi kifupi huku akimtumainia siku moja ataboresheka.
 
Unamchanganya Makonda na Gwajima na kundi la waropokaji? Ama kweli akutukae hakuchagulii tusi.
 
Mkuu huwajui vizuri hao watu

Mpina,Lissu, Heche, makonda Bashiru ni watu wakali mno,kiongozi wa juu hapaswi kuwa na Kariba ya watu hawa.

Ndugai ana dharau Sana japo si mkali kama hao jamaa.

Bashungwa hapana sheria Kali kuliko uhalisia.

Biteko ana asilimia 10 kuwa kiongozi wa juu ila ana umagufuli fulani japo siyo mkali ana falsafa za kizamani.

Gwajima hata Hafai Kwanza ni muongo Sana
Gwajima hakustaili kuepo hapo Simbachawene alionesha msimamo kipindi cha Magu anagombea Urais mara ya Kwanza akiwa waziri wa Nishati ni Mtu sana
 
Back
Top Bottom