Jebel
JF-Expert Member
- Jul 10, 2021
- 363
- 2,366
1. MWALIMU JULIUS K NYERERE.
Huyu mtu kwa mtazamo wangu alikuwa na kitu cha ziada mbali na intelligence aliyokuwa nayo.
Just imagine kama asingekuwa huyu mwamba hadi sasa kuna makabila nchi hii yangekuwa ni kama colonial masters wakati makabila mengine yangekuwa marginalized yaani yangekuwa kama slaves ndani ya nchi yao.
Huwa najaribu kufikiria kama Mwalimu asingali EQUALIZE nchi hii kupitia NATIONALIZATION POLICY kuna makabila kwao shule ingekuwa bado ni hadithi na hata waliosoma kazi ingekuwa kitendawili wakati makabila mengine yangekuwa na Neema hata zaidi ya hali ilivyo kwa sasa.
Yapo mengi sana yanayonifanya nimuweke nafasi ya kwanza mtu huyu.
Huyu mwamba sintaongea sana ila nitakuwekea baadhi tu mambo aliyoanzisha wakati wa utawala wake
3. RUGE MTAHABA
Najua wengi watashangaa sana kuona jina hili likiwa nafasi ya tatu, lakini ukizingatia mchango wa mapinduzi katika sanaa nchini Tanzania utakubaliana nami kwamba mchango wa mwamba huyu ni mkubwa sana. Imagine leo hii ukizungumzia mziki barani Africa, Tanzania lazima itajwe. Kabla ya mwamba huyu mtakumbuka jinsi mziki wa Congo ulivyotawala nchini mwetu. Ajira ambazo zimezalishwa kupitia mapinduzi ya sanaa yaliyochagizwa na mwamba huyu ni nyingi sana pia.
4. TUNDU ANTIPAS LISU NA ZITTO ZUBERI KABWE
Mchango wa miamba hii miwili katika kupigana dhidi ya ufisadi hasa katika utawala wa awamu ya 4 unanifanya niwaone wanafaa kukaa nafasi ya 4 katika orodha yangu. Lakini pia MCHANGO wao katika kuleta political awareness ni mkubwa sana. Hii miamba ilikuwa tayari hadi kutoa uhai wao kupigania ulinzi wa rasilimali za nchi yetu.
5. JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI
Mwaka 2021 wakati wa international exhibition maarufi kama EXPO2020 iliyofanyika Dubai(nilikuwepo huko wakati huo) kwa upande wa Tanzania walionyesha mambo haya;
6. REGINALD MENGI na SAID SALIM BAKHRESA
Ukiachana na uzalendo wao na mchango wao mkubwa sana katika uchumi wa nchi hii, watu hawa MCHANGO wao mkubwa katika sekta ya habari ni zaidi ya imagination. Vituo vyao vya radio na television ambavyo vimeanzishwa na miamba hii umekuwa ni chachu kubwa kukuza sekta ya habari, mawasiliano, biashara, michezo na kuzalisha ajira nyingi sana.
7. MELO MAXENCE
Huyu mwamba binafsi namwita Mark Zuckerberg wa Tanzania. Mchango wake katika sekta ya habari, siasa na ULINZI wa taarifa binafsi za watumiaji wa mitandao ni juu ya fikra ya kawaida. Walio wengi bado hawajajua Umuhimu wa ulinzi wa taarifa binafsi na mwamba huyu anajitahidi sana kutoa elimu kupitia mitandao na vyombo vya habari. Binafsi namweka nafasi ya 7 katika orodha yangu.
8. Dr. HUBERT KAIRUKI
Mchango wake katika sekta ya afya, mapinduzi katika sekta ya afya ni jambo ambalo linamfanya anishawishi kumweka nafasi ya 8 katika orodha hii. Ukiachilia utalaam wake lakini pia amezalisha professional doctors wengi sana ambao wameokoa maisha ya watu wengi nchini mwetu.
9.
10.
Wakati mwingine nitakuja na hizi nafasi tatu.

- National integration kwa kuchukua msukuma kwenda kusomea kasulu, mubena kwenda mara, mjaluo kwenda ijuganyundo n.k
- Protection of national resources
- Economic foundations nyingi sana alizoanzisha
- Misingi ya miradi mikubwa aliyoanzisha mfano; bwawa la umeme
Huyu mwamba sintaongea sana ila nitakuwekea baadhi tu mambo aliyoanzisha wakati wa utawala wake
- TANROADS- 2000
- TBA-2002
- TRA- 1996
- NACSAP
- NSGRP
- VAT-1998
- PCCB-
- TAA-1999
- BRELA-1999
- EWURA-2001
- TCRA-2003
- TNBC-2001
- MKUKUTA-2005
- MKURA-BITA- 2004
- TASAF- 1996
- TACAIDS-2001
- NHIF -2001
- PPRA- 2004
- N.k N.k
- Kuanzisha shule sekondari za tarafa na kata
- Maji kutoka Mwanza-Shinyanga-Kahama-Tabora
3. RUGE MTAHABA
Najua wengi watashangaa sana kuona jina hili likiwa nafasi ya tatu, lakini ukizingatia mchango wa mapinduzi katika sanaa nchini Tanzania utakubaliana nami kwamba mchango wa mwamba huyu ni mkubwa sana. Imagine leo hii ukizungumzia mziki barani Africa, Tanzania lazima itajwe. Kabla ya mwamba huyu mtakumbuka jinsi mziki wa Congo ulivyotawala nchini mwetu. Ajira ambazo zimezalishwa kupitia mapinduzi ya sanaa yaliyochagizwa na mwamba huyu ni nyingi sana pia.
4. TUNDU ANTIPAS LISU NA ZITTO ZUBERI KABWE
Mchango wa miamba hii miwili katika kupigana dhidi ya ufisadi hasa katika utawala wa awamu ya 4 unanifanya niwaone wanafaa kukaa nafasi ya 4 katika orodha yangu. Lakini pia MCHANGO wao katika kuleta political awareness ni mkubwa sana. Hii miamba ilikuwa tayari hadi kutoa uhai wao kupigania ulinzi wa rasilimali za nchi yetu.
5. JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI
Mwaka 2021 wakati wa international exhibition maarufi kama EXPO2020 iliyofanyika Dubai(nilikuwepo huko wakati huo) kwa upande wa Tanzania walionyesha mambo haya;
- Ujenzi wa SGR: MAGUFULI
- Ujenzi wa Bwawa la Nyerere: MAGUFULI
- Ujenzi wa kivuko cha Busisi: MAGUFULI
- Mabasi ya mwendokasi: J K MRISHO