Ndio zetu Waafrika kuendelea kuwalaumu Marekani na wazungu wengine kwa mapungufu yetu wenyewe. Baraka kwenye nchi zetu inakua laana. Inakuingia akilini eti DRC ndio huchangia asilimia 50% ya cobalt duniani halafu nchi yenyewe imetawaliwa na umaskini wa kufa mtu.