Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 14,762
- 42,887
Kuna vitu hutakiwi kushawishiwa ili uamini.
Maskini mmoja jirani yetu kujenga nyumba lakini ana deni la bati pia fundi mjenzi hajammalizia fedha yake.
Basi terehe 15 October ya 2024, wiki iliyopita ni kama walipatikana waje kudai kwa pamoja.
Baba huyu maskini hakuwa na cha kuwapa zaidi ya maneno. Wakati mazungumzo mbele ya mjumbe yakiendelea mmoja wa watoto wake binti wa darasa la kwanza alimwendea baba yake kwa furaha "baba, baba , baba" duuuuh maskini alimpa kipigo huyu mtoto innocent utafhani anapiga mtoto wa ngiri ( kasongo).
Nikaja kuprove na kusema tena kuwa mzazi anayedunda mtoto aidha ni kichaa au maisha yamemtandika.
Huwezi kumpiga mtoto wako ukiwa normal kichwani. Never