Watoto wa masikini wanakufa njaa vyuoni

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,357
6,422
Sasa ni almost miezi miwili vijana hawajapata hela ya kujikimu. Watoto wanaishije? Mamam Ndalichako, jiweke katika viatu vya watoto hawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…