Nadhani tangu mengi Atutoke kampuni imeporomoka muwekezaji aliopo saivi amekubali kampuni Bora liende tu Yani ni hafadhali unywe kandoro kuliko hayo maji saivi.kwa sasa yana chumvi yanazidiwa hata na afya ama hill mkuu sijui wamekuja kuwaje afu lita moja 500 kwa sasa
Nitanunua Tena then niwape malalamiko sasa kwanini na bei washushe zamani 1l iliuzwa 1500 saiv 500Nadhani kuna dawa za kuuwa wadudu WA maji zitakua updated ndo sababu ladha imebadilika , Wanapokea malalamiko kwenye kopo kuna address zao
Ni kweli mkuu, yawezekana wao hawajui lakini hayana tena ule ubora kama wa awali.Ntayajaribu mkuu japo dar yapo maduka machache
Mbona hii brand ishakufa longtime! Mpaka wamepunguza bei lakini wapiNi nani mwekezaji kwenye hii kampuni ya Kilimanjaro wakuu maana anauwa soko lake bila yeye kutambua miaka ya nyuma kidogo hii kampuni maji yake mtu wa kawaida ukinywa basi.
Unajiweza lakini sijui Nini kimewakuta maji yao ni machachu hafadhali maji ya kisima au Bomba.
Yani nakunywa maji yao si mara ya kwanza Wala ya pili naona kitu kile kile na mikoa tofauti au maji yao yana classes kwamba kwenye conference kubwa kubwa wanawekewa Yenye ubora?
Wahusika acheni kuchakachua mnaua brand Yenu.
Ni ushauri tu kwenu.
View attachment 2668652
Kuna maji yao na maji ya kuchakachuliwa , bei sometime zinabadilika kupunguza maji yaliyokaa mda mrefu stoo kutoka harakaNitanunua Tena then niwape malalamiko sasa kwanini na bei washushe zamani 1l iliuzwa 1500 saiv 500
Yani wamepitwa hata na afya.Ni kweli mkuu, yawezekana wao hawajui lakini hayana tena ule ubora kama wa awali.
Labda yanachakachuliwa somewhere on the way?
Au mtaalam wa PH alishaondoka?
Kwa sasa tunajaribu sana kuyakwepa kwa kweli
Afya na Hill hayana chumvi na ndo kitu pekee ninachoyapendea. Sijui kuna haja gani ya kujaza chumvi kwenye maji ya kunywa....kwa sasa yana chumvi yanazidiwa hata na afya ama hill mkuu sijui wamekuja kuwaje afu lita moja 500 kwa sasa
Haya sijawahi kuyaona huku Misungwi...Tumia maji kitulo matamu utayapenda ni maji halisi kabisa yanatoka kwenye maporomoko huko njombe
PH iko vile vile 7.0. Sema wamejaza madini na michumvi (Sodium) kibao...🚮🚮🚮Ni kweli mkuu, yawezekana wao hawajui lakini hayana tena ule ubora kama wa awali.
Labda yanachakachuliwa somewhere on the way?
Au mtaalam wa PH alishaondoka?
Kwa sasa tunajaribu sana kuyakwepa kwa kweli