Watch live Zuma Impeachment process

MchunguZI

JF-Expert Member
Jun 14, 2008
4,011
2,181
Those aware of the international events watch how the SA parliament proceed with the process;
 
Hawa wabunge ni kama wakwetu tanzania...Kuropoka na Vimbwanga bila kikomo..
 
Hawa wabunge ni kama wakwetu tanzania...Kuropoka na Vimbwanga bila kikomo..
ANC ni kama CCM yetu. Sasa hivi imejaa wezi na sasa wameamua kuwa pamoja kutetea Zuma ambaye yaonekana kavunja katiba.
 
ANC ni kama CCM yetu. Sasa hivi imejaa wezi na sasa wameamua kuwa pamoja kutetea Zuma ambaye yaonekana kavunja katiba.
yani hawana jipya kabisaa.....kuna mchangiaji badala ya kuquote vifungu vya katiba yeye haishi kutumia vifungu vya biblia kumtetea Zuma.....hahahaha Majambaz bhana yakishikwa kubaya
 
Dah! Wale wenye kujua haka ka lugha, hapa kuna utamu wa debate ya Bungeni. Sikilizeni jamani!
 
Mod naye sasa! Yaani jukwaa la siasa ni kwa ajili ya siasa za TZ tuuu!
 
Africa the black continent!! It happens only in Africa!!
Kwa wenzetu hata tetesi tu mtu anajiuzulu mwenyewe!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…