Watawala wanavyompaisha Lowassa

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,970
Sijui ni kwanini kila Mwananchi hivi sasa anapokutwa na janga anajuta na kulitaja jina la Lowassa kwa hasira"ni mara kumi ya Lowassa, hana makuu baba wa watu".Hii imedhihiri maeneo mengi nchini.

Binafsi ndio napata jibu la mwisho kua sio kweli kua huyu bwana alikua akihonga kila mwananchi ili apendwe, ni aina yake ya uongozi tu ndio uliosababisha mahaba yake haya kwa wananchi.


Nataka kusema kua watawala na utendaji wao ndio waliosababisha wanamchi watamke hayo, hivyo watawala walikua na uwezo wa kukwepa kauli hizi za wananchi.
Ukiona mkeo anamsifia mume wa mtu jua kua kuna kitu unakikosa.
 
We acha uwongo wkudangany w2 wnaomtja hyo labda Bavicha co w2 wt kwa kp alchkifnya mpka atajwe na yy ndio chanz cha baadh ya mttzo mkubw ktk hii ulsahau km altak ktuletea mvua za kteg hyo km co uwongo ni nn uliona wp mvua zktega
 
Ss unatka kla unachkiona ww bra na w2 wt wkione bra angalia intview aliyofnyiw na bbc swahl ndio utaona ubora wk zaid
 
M4U is bigger than chadema siku hizi, hii ni mbaya zaidi. Chadema imemezwa na taasisi inayoitwa lowassa. Badala ya kupromote chama mnapromote mtu alafunategemea kushinda, hizi akili ni za bavicha tu, tena bavicha wa mbowe na lowassa.
 
Lowasa kwa kweli alikuwa anapendwa sana na watanzania hasa vijana na mpaka sasa hakuna kitu kilichotokea ambacho kimeweza kuondoa kupendeka kwake.
 
M4U is bigger than chadema siku hizi, hii ni mbaya zaidi. Chadema imemezwa na taasisi inayoitwa lowassa. Badala ya kupromote chama mnapromote mtu alafunategemea kushinda, hizi akili ni za bavicha tu, tena bavicha wa mbowe na lowassa.

Nafikiri wanaomkashifu ndio wanaomjenga zaidi hasa baada ya Mahakama ya Mafisadi kukosa Kesi ya Ufisadi.
 
Hlo jn lenyew llikuw na ngvu zaid kw ajli ya muungano wa vywama na hvyo muungano wenyew umshaingia bundi 2020 Mungu akpend mapeeema wtala hao
 
LOWASSA anazidi kupaishwa na wanaCCM kuliko jinsi Darassa anavyopaishwa.

Ila nilimuelewa sana Hashim Rungwe.

Eti mnamuita Mtu fisadi ila hamumfungi.

Hahaha.....!
 
Hivi inakuwaje mtu na akili zake timamu anajaribu kufikiri lowasa ipo siku atatinga ikulu......au ni laana??
 
Kwa lipi alilowahi kulifanya?vya kuzusha vimeishaaa?.....hahhhahhahahhah mbavu zangu.
 
Watu bado wanaendelea kudai mabadiliko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…