MR MD BONIFACE
Member
- Oct 25, 2017
- 19
- 16
kwa product gani na margin zipi hasaInawezekana kabisa, sasa hivi mabenki yanafanya kazi duniani kote.
kwa product gani na margin zipi hasa
Wanazo nyingi sana Mkuu kama za bima. Pia wana wateja wengi kutoka Tanzania ambao wanafanya biashara Dubai na wana nafasi pia ya kufanya benki kuwa ya kimataifa kama Stanbic, Standard Charters, Barclays, Access na nyinginezo ambazo ni multinational banks.kwa product gani na margin zipi hasa
ni very simple kueleza hayo ila in reality things ziko tofauti sanaWanazo nyingi sana Mkuu kama za bima. Pia wana wateja wengi kutoka Tanzania ambao wanafanya biashara Dubai na wana nafasi pia ya kufanya benki kuwa ya kimataifa kama Stanbic, Standard Charters, Barclays, Access na nyinginezo ambazo ni multinational banks.
Ni rahisi pia kueleza kuwa haiwezekani kama unavyofikiri kwa sababu sio wewe unaetenda ama uliekuja na mpango huo.ni very simple kueleza hayo ila in reality things ziko tofauti sana