Watanzania zaidi ya 5500 live mtandaoni mda huu kufuatilia chama makini Tanzania (CHADEMA)

Nyasi-Man

JF-Expert Member
Sep 3, 2023
265
538
Habarini za mchana wana jamvi....
CDM inaonekana kukonga mioyo ya watanzania wengi ambao wamechoka na ufedhuri na dhuruma ya CCM. Hii ni dalili njema kwamba kumekaribia kupambazuka, tuendelee kumwomba sana Mungu wetu wa haki.

Simba wa nyika Tundu Lissu na Heche kila waungurumapo CCM inapagawa kinoma.

Time for change has come.
 
5,500 KATI YA 64,000,000+
AMA KWELI CHADEMA INAKONGA NYOYO ZA WATANZANIA.
 
Habarini za mchana wana jamvi....
CDM inaonekana kukonga mioyo ya watanzania wengi ambao wamechoka na ufedhuri na dhuruma ya CCM. Hii ni dalili njema kwamba kumekaribia kupambazuka, tuendelee kumwomba sana Mungu wetu wa haki.

Simba wa nyika Tundu Lissu na Heche kila waungurumapo CCM inapagawa kinoma.

Time for change has come.
huo ni ushindi mkubwa na wa kishindo kwa waropokaji mtanadaoni, ila field ni vibaka tu :NoGodNo:
 
Screenshot 2025-04-23 141406.png
 
Habarini za mchana wana jamvi....
CDM inaonekana kukonga mioyo ya watanzania wengi ambao wamechoka na ufedhuri na dhuruma ya CCM. Hii ni dalili njema kwamba kumekaribia kupambazuka, tuendelee kumwomba sana Mungu wetu wa haki.

Simba wa nyika Tundu Lissu na Heche kila waungurumapo CCM inapagawa kinoma.

Time for change has come.
Kule Kusini Mikutano ya Lissu ilokuwa live watu 7K. Ukiangalia ya Wasira watu 120 tu.

😀😀
 
Video ya "KUNA" Ya Diamond ina views millions kadhaa, na pengine huko Gereza la Ukonga kuna watu wanamuimbisha wimbo huo, views 5000 tena wengi wana akaunti mbili au tatu ni chache
 
Back
Top Bottom