Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 458
Tatizo ni Nyota (*)Yaani una elimu ya chuo, vyeti ni safi, uzoefu wa kazi unao, viambatanisho vyote atakavyotaka next employer unavyo, sample za kazi zako unazo...(ingawa huna mtu wa kukushika mkono au hongo). Una apply kazi karibu 20, unaitwa 5 kwenye interview, kisha hupigiwi simu tena! tatizo liko wapi? ukiangalia huna uliyegombana nae ati labda kakwendea kwa mganga. Rafiki yangu hapa anataka kujiua, ushauri tafadhari.
Hiyo ni sehemu ya safari,asikate tamaa.Yeye anataka mteremko tu labda awe shogaYaani una elimu ya chuo, vyeti ni safi, uzoefu wa kazi unao, viambatanisho vyote atakavyotaka next employer unavyo, sample za kazi zako unazo...(ingawa huna mtu wa kukushika mkono au hongo). Una apply kazi karibu 20, unaitwa 5 kwenye interview, kisha hupigiwi simu tena! tatizo liko wapi? ukiangalia huna uliyegombana nae ati labda kakwendea kwa mganga. Rafiki yangu hapa anataka kujiua, ushauri tafadhari.
Rafiki yako au wewe mwenyewe unataka kujiuaYaani una elimu ya chuo, vyeti ni safi, uzoefu wa kazi unao, viambatanisho vyote atakavyotaka next employer unavyo, sample za kazi zako unazo...(ingawa huna mtu wa kukushika mkono au hongo). Una apply kazi karibu 20, unaitwa 5 kwenye interview, kisha hupigiwi simu tena! tatizo liko wapi? ukiangalia huna uliyegombana nae ati labda kakwendea kwa mganga. Rafiki yangu hapa anataka kujiua, ushauri tafadhari.
we vipi bwana wewe,Yaani una elimu ya chuo, vyeti ni safi, uzoefu wa kazi unao, viambatanisho vyote atakavyotaka next employer unavyo, sample za kazi zako unazo...(ingawa huna mtu wa kukushika mkono au hongo). Una apply kazi karibu 20, unaitwa 5 kwenye interview, kisha hupigiwi simu tena! tatizo liko wapi? ukiangalia huna uliyegombana nae ati labda kakwendea kwa mganga. Rafiki yangu hapa anataka kujiua, ushauri tafadhari.
usiogope wacha wajiue hili nafasi zipatikate.Jmn huku kujiua mbona kumeshamiri sana?
Yaani una elimu ya chuo, vyeti ni safi, uzoefu wa kazi unao, viambatanisho vyote atakavyotaka next employer unavyo, sample za kazi zako unazo...(ingawa huna mtu wa kukushika mkono au hongo). Una apply kazi karibu 20, unaitwa 5 kwenye interview, kisha hupigiwi simu tena! tatizo liko wapi? ukiangalia huna uliyegombana nae ati labda kakwendea kwa mganga. Rafiki yangu hapa anataka kujiua, ushauri tafadhari.
yani Bora use MJasiliaMali ukwepe den la Mkopp,,!Yaani una elimu ya chuo, vyeti ni safi, uzoefu wa kazi unao, viambatanisho vyote atakavyotaka next employer unavyo, sample za kazi zako unazo...(ingawa huna mtu wa kukushika mkono au hongo). Una apply kazi karibu 20, unaitwa 5 kwenye interview, kisha hupigiwi simu tena! tatizo liko wapi? ukiangalia huna uliyegombana nae ati labda kakwendea kwa mganga. Rafiki yangu hapa anataka kujiua, ushauri tafadhari.
MKUU HII THREAD NI YA ZAMANI SANA. WATU WANACHAMBUA THREAD ZANGU, IN RESULT ZINAKUWA ON TOP, SO NDO MAANA UNAONA NI KAMA NIMEIPOST SASAHIVI. THANKSMbona hii series siielewi ,juzi umemsafirisha mkeo na mtoto,baada ya hapo ukataka kujiua mwana jamii forum akakutumia pesa laki moja ukahairisha safari kwenda sijui kwa ndugu yako gani kitunda kama sijakosea ,ukaletwa uzi na mwana jamii forum mwingine kwamba ni kweli unataka kujiua amekukuta umenunua madawa kibao akaweka namba zako utumiwe hata buku kwani hali yako ni mbaya,Leo unakuja na mada ni rafiki yako anataka kujiua sio wewe tena ,ushauri upi unaotaka ?? Hizo nyuzi zote ulizoanzisha ulishauriwa vyema ,huo ushauri umefanyia nini ??? Excuse inakua ni kutaka tu kujiua ,Mzee kama vipi jitundike tu
Ana uhakika gani kama hizo interview huwa ana "pasi?" Kufanya interview nyingi na kutokupata kazi haina direct maana eti kuwa unaonewa,ajitafakari wapi anakosea? Au aombe feedback ya interview zake ili ajue wapi anakosea ili abadilike,kujiua sio solution,matatizo hayakimbiwi bali hukabiliwa.Yaani una elimu ya chuo, vyeti ni safi, uzoefu wa kazi unao, viambatanisho vyote atakavyotaka next employer unavyo, sample za kazi zako unazo...(ingawa huna mtu wa kukushika mkono au hongo). Una apply kazi karibu 20, unaitwa 5 kwenye interview, kisha hupigiwi simu tena! tatizo liko wapi? ukiangalia huna uliyegombana nae ati labda kakwendea kwa mganga. Rafiki yangu hapa anataka kujiua, ushauri tafadhari.
Yaani una elimu ya chuo, vyeti ni safi, uzoefu wa kazi unao, viambatanisho vyote atakavyotaka next employer unavyo, sample za kazi zako unazo...(ingawa huna mtu wa kukushika mkono au hongo). Una apply kazi karibu 20, unaitwa 5 kwenye interview, kisha hupigiwi simu tena! tatizo liko wapi? ukiangalia huna uliyegombana nae ati labda kakwendea kwa mganga. Rafiki yangu hapa anataka kujiua, ushauri tafadhari.
Hii thread ya leo mbichi kabisaaa we unatuambia ya zamani we chalii naje asee!MKUU HII THREAD NI YA ZAMANI SANA. WATU WANACHAMBUA THREAD ZANGU, IN RESULT ZINAKUWA ON TOP, SO NDO MAANA UNAONA NI KAMA NIMEIPOST SASAHIVI. THANKS
....utakuwa Muha wewe!.,unabishana na mwenye uzi wake?..umesoma tarehe?Hii thread ya leo mbichi kabisaaa we unatuambia ya zamani we chalii naje asee!
Sawa mkuu ila mi sio muha....utakuwa Muha wewe!.,unabishana na mwenye uzi wake?..umesoma tarehe?
wengi tunazani yakuwa ma vyeti ndio uzoefu ushamaliza waajili sasa hivi wanaangalia sana attitude yako broYaani una elimu ya chuo, vyeti ni safi, uzoefu wa kazi unao, viambatanisho vyote atakavyotaka next employer unavyo, sample za kazi zako unazo...(ingawa huna mtu wa kukushika mkono au hongo).
Una apply kazi karibu 20, unaitwa 5 kwenye interview, kisha hupigiwi simu tena! tatizo liko wapi? ukiangalia huna uliyegombana nae ati labda kakwendea kwa mganga.
Rafiki yangu hapa anataka kujiua, ushauri tafadhari.