Vincenzo Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2020
- 22,840
- 55,018
Mtu anakupigia simu na namba ya Mtu mwengine sio ile ulioizoea. Unapokea unamuuliza Nani mwenzangu? Anakujibu Otea Mimi ni Nani😂😂
Bado nafasi ipo kurudi chamani wewe wa kiume kaza acha kujilegeza legeza.Mm ukiniambia otea nitasema, utakuwa ulinikula tunda juzi ili tuvurugwe wote akili, sitaki habari za kuotea wala kupeana miji sijui, maisha yenyewe naotea yaan na ww nikuotee dohh
Huu upuuzi nilishaukataa kitambo. Mtu katumia namba ngeni kukupigia, unapokea then mtu kanyamaza tu anangoja uongee wewe kwanza. My friend, tutapumua hadi salio likuishieMtu anakupigia simu na namba ya Mtu mwengine sio ile ulioizoea.Unapokea unamuuliza Nani mwenzangu? Anakujibu Otea Mimi ni Nani😂😂
Hayo ni mahaba kumbee?!!we nawe mahaba hayo halafu unaita ugonjwa wa akili?
Kama kwako hayo ndio mahaba basi utaendelea kuwa Kijakaziwe nawe mahaba hayo halafu unaita ugonjwa wa akili?
Hahahaha au mtu anakupigia simu baada ya salamu anakwambiaMm ukiniambia otea nitasema, utakuwa ulinikula tunda juzi ili tuvurugwe wote akili, sitaki habari za kuotea wala kupeana miji sijui, maisha yenyewe naotea yaan na ww nikuotee dohh
Yaan sipendi hilo neno, yaan unitafute wewe alaf unasema niambie, kweli afya ya akiliHahahaha au mtu anakupigia simu baada ya salamu anakwambia
Niambie!
Sasa nikwambie Nini na wewe ndo umenitafuta