Watanzania wahimizwa kutumia Tume ya Mahakama ili kuthibiti maadili kwa wanasheria

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
4,630
2,258
Mh Jaji Mkuu na Mtendaji Mkuu wa Makakama wamewahimiza Watanzania kutumia Tume ya Mahakama wanapotendewa vibaya na watendaji wa mahakama na wanasheria kwa ujumla.

Hii nimeipenda maana kumekuwa na malalamiko ya kesi kutoamuliwa vyema na mahakama kuwa labda kuna rushwa au upendeleo, haya mambo kumbe Tume ya Mahakama inaweza kuwafanyia kazi. Je wananchi wanalijua hili? Nani anatakiwa kuelimisha kuhusu hilo?

Je, wewe unalionaje hili?
 
Back
Top Bottom