Mnamo majuzi tarehe 12Jun2012 Rais wetu aliongea kwa ufasaha sana katika hotuba yake ambayo naamini itabaki katika kumbukumbu za Watanzania karne na karne kuelezea jinsi tunavyoporwa rasilimali zetu.
Ni wazi kuwa nchi yetu hainufaiki na madini wala gesi wala maliasili nyinginezo kutokana na mikataba ya hovyo waliongia vibaraka wetu na hao makabaila. Ndio maana bado tunaendelea kuwa tegemezi.
Tuanze sasa, bila kujali itikadi, tuungane kama watanzania, tumuunge mkono Rais wetu kuitoa nchi yetu kutoka ukoloni mambo leo ie neo colonialism.
Kuna watu wanaturudisha nyuma kwa kuweka itikadi. Hakuna anayekwenda vitani na sare za chama. Adui atajua tumegawanyika. Twende vitani na sare za Utanzania.
Tuwe na kauli moja, msimamo mmoja sawa Rais wetu.
Naamini tutaikomboa nchi yetu !

Huyo Tundu Lissu unayemsema ni yupi, yule aliyefikishwa mahakamani kwa kudai haki yeti kwenye migodi iliyouzwa na CCM au aliyechongwa na CCM. Usidandie kitu usichokijua, no wapinzani pekee walioonja surubu ndani ya bunge na mahakamani, nenda kalaleTundu Lisu , yeye anataka tusubili mpaka Chama chake kiingie ikulu(Mwaka 2999) ndiyo tuanze kufuatilia/kulinda Madini yetu.
Katika hili upele umepata mkunaji, watanzania tulio upande wa uzalendo tuko tayari kuwambwa msalabani kwa kuitetea nchi yetu dhidi ya mabeberu na makuhadi wao. Shime tushikamaneMnamo majuzi tarehe 12Jun2012 Rais wetu aliongea kwa ufasaha sana katika hotuba yake ambayo naamini itabaki katika kumbukumbu za Watanzania karne na karne kuelezea jinsi tunavyoporwa rasilimali zetu.
Ni wazi kuwa nchi yetu hainufaiki na madini wala gesi wala maliasili nyinginezo kutokana na mikataba ya hovyo waliongia vibaraka wetu na hao makabaila. Ndio maana bado tunaendelea kuwa tegemezi.
Tuanze sasa, bila kujali itikadi, tuungane kama watanzania, tumuunge mkono Rais wetu kuitoa nchi yetu kutoka ukoloni mambo leo ie neo colonialism.
Kuna watu wanaturudisha nyuma kwa kuweka itikadi. Hakuna anayekwenda vitani na sare za chama. Adui atajua tumegawanyika. Twende vitani na sare za Utanzania.
Tuwe na kauli moja, msimamo mmoja sawa Rais wetu.
Naamini tutaikomboa nchi yetu !
Namkubali Makilagi lakini anajificha sana. Hebu ajitokeze afanye Kati aonyeshe kipaji basi.UWT YAUNGA MKONO UAMUZI YA RAIS KUHUSU MAKANIKIA NA MIKATABA YA MADINI.
Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) inaunga mkono juhudi za Mheshimiwa Rais Dkt John Pombe Magufuli na kupongeza jitihada zake za kupambana na aina zote za ubadhirifu, dhulma na unyonyaji uliobainika kwenye mikataba ya uchimbaji na usafirishaji madini, na hivyo kuhakikisha maliasili za Taifa zinatumika kwa manufaa ya watanzania wote.
Pia, Umoja wa Wanawake Tanzania unatoa pongezi kwa wajumbe wa Kamati kwa weledi, uzalendo na ujasiri mkubwa wa kubainisha hasara kubwa iliyopatikana kwa Taifa letu kutokana na usafirishaji wa makanikia, na hivyo UWT inakubaliana na kuunga mkono mapendekezo yote ya Kamati na uamuzi wa Mheshimiwa Rais Dkt John Pombe Magufuli wa kutaka kurekebisha mikataba na sheria za usimamizi na uchimbaji wa madini nchini.
Aidha UWT inapongeza hatua za awali za mazungumzo yaliyofanywa leo tarehe 14/06/2017 baina ya Mhe Rais Dkt Magufuli na Mwenyekiti wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation ambao ni wamiliki wa Kampuni ya Acacia Mining Limited Prof. John L. Thornton na kukubaliana kuhusu malipo ya fedha zilizopotea na kushirikiana katika ujenzi wa mtambo wa kuchenjulia dhahabu (smelter) hapa nchini.
Kufanikiwa kwa mazungumzo hayo, na marekebisho ya sheria na mikataba ya madini kutawezesha Watanzania kupiga hatua ya kujikomboa na umasikini, hususani Wanawake ambao wameendelea kukosa huduma za msingi za kijamii ikiwemo afya, elimu, maji na malazi bora. Wanawake wengi wanahangaika kwa kukosa mitaji ya biashara na mikopo ya wajasiriamali wadogo huku wakisumbuliwa kulipa tozo, ushuru na kodi za kero.
UWT inatoa rai kwa wananchi wote kumuunga mkono Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kujivunia utanzania wetu. Tunamuombea Mhe Magufuli, MwenyeziMungu azidi kumpa afya njema, moyo wa ujasiri, uzalendo na upendo kwa watanzania.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
AMINA MAKILAGI (MB)
KATIBU MKUU
View attachment 523901 JUMUIYA YA UMOJA WA WANAWAKE TANZANIA.
14/06/2017
Kufanya tendo la ndoa/ngono hakukupi uhakika wa mtoto. Tusijipe matumaini sana. Rais anasema Barrick wako tayari kulipa fidia. Lakin mwenyekit wa Barrick hajaongelea fidia hata mara moja ktk statement yake na hapo ungependa mwandishi wa habari aulize kama anaji-commit kulipa fidia kama uporaji ukidhihirika, lakin hilo halikufanyika.
Barrick ni wafanya biashara. Wana uwezo wa kuunda timu kali sana na hata ku-lobby kwa taasisi zitakazotumiwa na timu hizo mbili ili wapewe upendeleo. Nina maana wana uwezo wa kuomba samples za mchanga zipelekwa lab wanazojua wao na matokeo ya utafiti wakayajua wao.
Sisi sasa tujadili tunapeleka timu gani ktk majadiliano. Kwa kuanzia, nimpongeze rais kwa kuambatana na Prof. Kabudi. Nimshukuru kwa kutambua watu wabobezi ktk fani mbalimbali na kuwatumia. Aende hatua moja mbele, awapende na kushirikiana na wanaompinga. Mfano, Tundu Lissu ni mdogo hata ndani ya chadema (yes!), rais wa nchi hatakiwi kurushiana nae vijembe. Kama Lissu anajua sana, awekwe kwenye timu. Msimamo wake utatusaidia wakati wa negotiations. Akikataa uteuzi, jamii itamhukumu.
Napendekeza timu iwe na nguli wa geolojia, mtu mwenye uzoefu ktk uchimbaji madini mgodini ktk nafasi za juu, taxman, mchumi, wanasheria, nk. Mantiki ya ushauri wangu ni kwamba Barrick wanajipanga, sisi tunasherehekea. Ni kosa kubwa sana. Huyu jamaa kaja huku kuokoa shares zao tu, sio kingine. Watakuja na silaha zote (time for big guns), ikiwemo mkwanja wa rushwa.
UWT YAUNGA MKONO UAMUZI YA RAIS KUHUSU MAKANIKIA NA MIKATABA YA MADINI.