Kikwava
JF-Expert Member
- Sep 6, 2015
- 1,665
- 1,002
Habari za leo Wana forum.
Kwanza kabisa naomba nichukue nafasi hii kumchukru na Kumpongeza Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan kwa jitihada kubwa anazozifanya za kuimarisha maendeleo na diplomasia yetu na mataifa mengine.
Naomba ndugu waTZ tujue kwamba kukua kwa diplomasia ni Ajira, heshima pia ni maendeleo kwa Taifa letu.
Hivyo basi, tuitumie hii fursa kwa kuomba nafasi za kazi kwenye mataifa mengine ulimwenguni, leo hii Kuna ajira zinatangazwa hapo Botiswana na ulaya za madaktari, manesi, walimu nk lakini wanaoomba ajira hizo % kubwa ni wakenye na wa-nigeria hebu tuchangamkie hii fursa.
Ningependa ndugu waTZ tujue kuwa Elimu yetu ni international waliosoma colonialism wanalijua hili, ni aibu kuwa msomi halafu bado unaogopa kwenda kufanya kazi inje za nchi. Mfano tu hapo England madaktr % kubwa wanatoka bara la Africa, Kuna hadi mabwana shamba waafrica.
Dunia nzima kwasasa inaiangalia Tanzania kwa jicho la Imani Sana kutokana na Uongozi makini wa Rais wetu Dr. Samia Suluhu Hassan 🇹🇿, mfano hata hapo India Mtz anapewa priority kubwa sana kwenye full funded scholarship na ajira pia kutokana na diplomasia inayojengwa na serikali yetu ya awamu ya 6.
Asanteni kwa kusoma karibuni kwenye mjadala, mwisho wa siku tutaelekezana juu ya Nini kifanyike ili kila Mtanzania ajione kuwa anaweza kuajiriwa mahali popote Duniani na kuachana na hizi kelele za sijui ajira sijui fursa za mikopo ya Elimu ya juu, nk.