Watanzania tunaongoza kwa kupenda mapenzi ndio maana nchi yetu haiendelei

Wazabanga kuku

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
264
378
Aslaamhaleykhum wana JF,

Nimegundua watanzania tunaongoza kwa kupenda mapenzi ndo maana nchi yetu maendeleo hakuna na yaliyopo tunayapata kwa mwendo wa Kobe. Kwenye mitandao mingi ya kijamii watanzania tunaongoza kwa post za mapenzi na ngono ngono.

Kijana anahangaika mchana kutwa kutafuta hela mwisho wa siku hela yote anakwenda kuhonga kwa mwanamke sasa unampa mwanamke hela imeandikwa wapi au raha unapata peke yako. Hata hapa JF ukitupia mada ya mapenzi hasa ya kula tigo utapata replies nyingi hii kuonesha wabongo na mapenzi damu damu.

Wenzetu wajapan 40% yao ni mabikra wake kwa waume hao wanawaza kuvumbua vitu na kukuza technology. Sisi tunawaza ngono tu binti ana miaka 15 tayari hana bikra mbele na nyuma je akifikisha 30 years si atakua na pango.

Wabongo tufanye kazi sio muda wote mapenzi mapenzi.
 
uingereza na marekani kwenye madaguro ya vioo na watu wanachagua wanawake live tunawazidi maendeleo?ishu sio mapenzi ni mind set tu.
 
Sex ni basic need ya mwanadamu. Ni sawa sawa na chakula, mavazi na malazi. Nchi za ulaya na marekani ndo wamekubuhu kwa mapenzi hadi kwa punda na mbwa. Sisi waafrika tunajifanya ngono ni kitu haramu na tunaishia kufanya ngono zembe na kudumbukia kwenye dibwi la ngoma.

Maendeleo ni mipango na mikakati ya mda mrefu. sera nzuri na kuwekeza kwenye ubunifu. ukihitaji kugegeda kagegede umalize uendelee kufanya mambo mengi sio kuvunga vunga.
 
Haya mambo ya mitandao tunaiga kwa hao hao wenye maendeleo,sasa kwanini wao ndiyo wasingekuwa masikini kisa mitandao?

Kuna watu wana mambo ya kipuuzi kama wazungu?
 
KWELI KABISA.JARIBU KUFIKIRIA GRARAMA YA MUDA NA PESA.
 
Haya mambo ya mitandao tunaiga kwa hao hao wenye maendeleo,sasa kwanini wao ndiyo wasingekuwa masikini kisa mitandao?

Kuna watu wana mambo ya kipuuzi kama wazungu?
Hapo sasa, wazungu ni hovyo sana kimaadili na hawajali kitu. hii mitandao imesheheni kwao. Sisi ndo kwanza tunaibukia. tatizo hapa ni time menejiment na vipaumbele.
 
kama vipi mheshimiwa apige marufuku watu kufanya mapenzi mda wa kazi
 
Nchi yetu haina vita sasa unataka tufanyaje.
Mkulu wetu anaetuongoz na bashite ndio vilevile tena ndo kama vile.
 
Kazi na dawa

Hata adam alipewa kazi ya kutunza bustani lakin kwa kutambua umuhimu wa mapenzi akasogezewa eva...
Kuna vitu tumeletewa na tunapaswa tufanyie kazi
 
Hivi nchi gani hapa duniani ambayo Wananchi wake hawafanyi ngono? Ukosefu wa ajira nchini unahusiana vipi na kufanya ngono? Tuache kutafuta sababu zisizo za msingi kama ndiyo chanzo cha kukosa maendeleo nchini. Ufisadi, wizi, kudharau katiba, kupindisha sheria za nchi etc ndiyo vyanzo vikuu vya nchi kukosa maendeleo miaka nenda miaka rudi.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…