Una point lakini umekosea kidogo safiri ulaya uone Tanzania ni cha mtoto hatufikii hata robo kwakuwa huku hatuna hata free Wi-Fi na hii mitandao inatamba zaidi mijini tena kwa wanaomiliki smart phoneSalamu wakuu, Naanzisha mada hii nkiwa na Huzuni kabisa Ndugu Watanzania tunahitaji kubadilika Haswaa katika matumizi ya vifaa vya kitechnolgy Leo hii vijana wakike na wakiume wako bize sana na mambo ya social network mambo ambayo yana madhara zaidi kwa vile hutumia makutano hayo kuchati mambo yasio na msingi, kama kweli tungekuwa makini basi wakati huu wa kila mtu kuwa na simu basi tungejifunza mengi sana kuna maarifa mengi mno Internet ila hatuna muda nayo zaidi ya chatting za ovyo tu leo tunaona nchi za wenzetu walivyo na blogs za science na mashindano kibao ya kielimu lakini kwetu halipo hili kuanzia katika media mpaka social network ni mambo ya ovyo vijana wameharibikiwa. hivi kwa style Hii tunajenga Taifa gani ndugu zangu? Hivi tunataka kuwa waletewaji wa kila jambo au kitu?
Sipingani au kuzuia mambo ya Burudani ila yamazidi kiwango.
Nafikiri soma maelezo yangu vizuri shida sio kuwa na smartphone au free Wi-Fi shida je tunazitumia ipasavyo kupata maarifa mbalimbali?Una point lakini umekosea kidogo safiri ulaya uone Tanzania ni cha mtoto hatufikii hata robo kwakuwa huku hatuna hata free Wi-Fi na hii mitandao inatamba zaidi mijini tena kwa wanaomiliki smart phone
Kwa wenzetu Wi-Fi ni kila mtaa na simati foni ndio swaga
Hili sio tatizo la Tanzania tuu ni tatizo la kiduniaNafikiri soma maelezo yangu vizuri shida sio kuwa na smartphone au free Wi-Fi shida je tunazitumia ipasavyo kupata maarifa mbalimbali?
OK OK lakini kwa hapa kwetu bado ni sehemu ndogo sana wanaotumia mitandao ya kijamiiNimejaribu kuelezea kwa upande wetu na madhara
Salamu wakuu, Naanzisha mada hii nkiwa na Huzuni kabisa Ndugu Watanzania tunahitaji kubadilika Haswaa katika matumizi ya vifaa vya kitechnolgy Leo hii vijana wakike na wakiume wako bize sana na mambo ya social network mambo ambayo yana madhara zaidi kwa vile hutumia makutano hayo kuchati mambo yasio na msingi, kama kweli tungekuwa makini basi wakati huu wa kila mtu kuwa na simu basi tungejifunza mengi sana kuna maarifa mengi mno Internet ila hatuna muda nayo zaidi ya chatting za ovyo tu leo tunaona nchi za wenzetu walivyo na blogs za science na mashindano kibao ya kielimu lakini kwetu halipo hili kuanzia katika media mpaka social network ni mambo ya ovyo vijana wameharibikiwa. hivi kwa style Hii tunajenga Taifa gani ndugu zangu? Hivi tunataka kuwa waletewaji wa kila jambo au kitu?
Sipingani au kuzuia mambo ya Burudani ila yamazidi kiwango.
Ni sahihi lakini tumekosea kuanzia mbali, pale tuliposhindwa kuyadhibiti magazeti ya udaku vijarida vya story za kijinga na taifa kuwekeza zaidi kwenye siasa na kuiacha elimu nyumaSawa kiongozi lakini sehemu hio hio ni jicho la taifa mfano Dar es salaam
Majibu mabovu hayamkatishi tamaa muelimishaji". Naunga mkono kweli kama tukitumia vizuri mtandao(internet) tunaweza kupata maarifa, elimu na mambo mengi sana. Mtoa post usijari kuna APP inakuja,waweza kuwazimia data watu wote wasio kuwa na matumizi mazuri na mtandao.Salamu wakuu, Naanzisha mada hii nkiwa na Huzuni kabisa Ndugu Watanzania tunahitaji kubadilika Haswaa katika matumizi ya vifaa vya kitechnolgy Leo hii vijana wakike na wakiume wako bize sana na mambo ya social network mambo ambayo yana madhara zaidi kwa vile hutumia makutano hayo kuchati mambo yasio na msingi, kama kweli tungekuwa makini basi wakati huu wa kila mtu kuwa na simu basi tungejifunza mengi sana kuna maarifa mengi mno Internet ila hatuna muda nayo zaidi ya chatting za ovyo tu leo tunaona nchi za wenzetu walivyo na blogs za science na mashindano kibao ya kielimu lakini kwetu halipo hili kuanzia katika media mpaka social network ni mambo ya ovyo vijana wameharibikiwa. hivi kwa style Hii tunajenga Taifa gani ndugu zangu? Hivi run at ala kuwa waletewaji wa kila jambo au kitu?
Sipingani au kuzuia mambo ya Burudani ila yamazidi kiwango.
Elimu elimu elimu... Tuwekeze kwenye elimu, tuhamasishe watoto wetu kusoma na kuwa wabinifu tuwe na mashindano ya kikanda ya elimu katika nyanja zote za elimuKipi kifanyike kwa sasa?
hajapinga kutumia intetnet, amesema tuzitumie kwa njia yenye faida kama vile kupata elimu ya maisha, alafu unapolinganisha tz na ulaya naona unakosea, wale jamaa walikua wanapiga kazi na kujielimsha sana ndio maana wapo walipo na sisi tupo hapa. utakuwa mjinga sana kama mwenzako amekuacha kilomita 1000 na wewe badala ya kufanya spidi ili upunguze gap una relax alafu unasema "kwani mbona na yeye ame relax pia?"Una point lakini umekosea kidogo safiri ulaya uone Tanzania ni cha mtoto hatufikii hata robo kwakuwa huku hatuna hata free Wi-Fi na hii mitandao inatamba zaidi mijini tena kwa wanaomiliki smart phone
Kwa wenzetu Wi-Fi ni kila mtaa na simati foni ndio swaga
Umesoma mtitiriko wote uliofuatia lakini!?hajapinga kutumia intetnet, amesema tuzitumie kwa njia yenye faida kama vile kupata elimu ya maisha, alafu unapolinganisha tz na ulaya naona unakosea, wale jamaa walikua wanapiga kazi na kujielimsha sana ndio maana wapo walipo na sisi tupo hapa. utakuwa mjinga sana kama mwenzako amekuacha kilomita 1000 na wewe badala ya kufanya spidi ili upunguze gap una relax alafu unasema "kwani mbona na yeye ame relax pia?"