Watanzania tulisema Prof. Muhongo hafai CCM wakasema ni "JEMBE"

Robinhomtoto

JF-Expert Member
May 17, 2017
238
244
Hayai hayai yamekuwa.Wakati wa uundwaji wa Baraza la Mawaziri awamu ya tano watanzania tulisema Prof.Muhongo Hafai lakini wanaccm walisema nib" Jembe" Leo tumeona yametimia.
 
Haya mambo yalianza miaka 19 iliyopita. Je Muhongo alikuwepo? Ukifuatilia nyuma zaidi lazima JK naye akamatwe
 
Hayai hayai yamekuwa.Wakati wa uundwaji wa Baraza la Mawaziri awamu ya tano watanzania tulisema Prof.Muhongo Hafai lakini wanaccm walisema nib" Jembe" Leo tumeona yametimia.
Watanzania wapi walisema hafai? Ni mbunge wa kucjaguliwa tena aliwagaragaza vibaya sana ukawa hawana hamu na hilo jimbo!
 
Ukiachana na yule aliyesema bora watz wale nyasi lkn ndege ya rais/rada lazima inunuliwe basi huyu jamaa alinichefua kwa kiburi na dharau kuu.....
Eti watz wanachoweza ni kiwekeza kwenye kukaanga vitumbua sio uwekezaji mkubwa
 
dah, kama upinzani akili zenu ndo kama mleta mada..... mtasubirii sana hata baada ya miaka 100
 
Kuna shida hiyo report huwezi kupata tani 21 za dhahabu kwa makontena 272
Ukiwa huko jikoni lazima ulenge kumfurahisha mkulu.....wote waliojaribu kwenda kinyume naye wamepotezwa.......TUTACHAKACHULIWA SN REPORTS ILI TU RAIS DIKTETA NA MPENDA UJIKO BINAFSI AFURAHI
 
Hakuna wa kumsemea MTU. Kila MTU anakufa Siku yake. Historia itahukumu mambo yote mbele za maisha yote mbele za haki siku ya hukumu ya kila MTU.
 
TE="Jadi, post: 21281302, member: 50182"]Kuna shida hiyo report huwezi kupata tani 21 za dhahabu kwa makontena 272[/QUOTE]
Watu si wangechimba mara moja tu na kuondoka kwa nini unga'ng'anie kuchimba wakati mchanga tu unaopata baada ya kuondoa dhahabu ni zaidi ya dhahabu yenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…