Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,844
- 141,221
Sijui hizi habari zina ukweli kiasi gani ila nimeona kuna watu wanasema Samia kaenda au anaenda huko Paris.
Kama ni kweli, jipangeni ‘mumkaribishe’ kwa namna ambayo hatoisahau.
Msiogope. Huko hao watu wake hawana cha kuwafanya.
Mshikieni mabango. Mkiweza chukueni hata vipaza sauti.
Mpingeni kwa namna yoyote ile mtakayoweza.
Msimwache aje aondoke bila kumwambia ukweli.
Huyo asiachwe hata kidogo.