Huwa nikikaa mtandaoni naona kila mtu analeta nyuzi eti watanzania wamelala wakati na lenyewe ni litanzania, mara gen z ya bongo hamna kitu kazi simba na yanga wakati na lenyewe lilikua kijana halikufanya kitu sasa hivi linasema vijana.
Yaani huwa nashangaa pale jitu limepigwa na maisha linakuja mtandaoni kulaumu watanzania wenzake hawachukui hatua wakati na lenyewe bado linapumua hivi hii ni akili kweli.
Mimi ndio maana nasema hapa kama unaakili timamu tanzania jitafutie noti kula maisha, nchi inaraha hii usipoleta ujinga ujinga.