Watanzani kuweni makini na wezi wamtandao wanajiita blackrock-009 ni wezi

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,679
8,866
Watanzania naomba kuwataadharidha na hili kundi linajiita BLACKROCK-009 wameliza sana watu wakijinfanya kununua kifurushi na wewe kuwekewa pesa kutokana na kifurushi utakacho nunua.

Ni kama DESI watu wameumizwa sana na juzi tarehe 5 wamewabadilikia na kuanzia ha mashariti mapya ambayo unahitajika kuongeza pesa mitaji yao ndipo watakapovuna.

Soma Pia: Wizi wa Mtandaoni umekithiri sana, ndugu yangu alinusurika. Weka kisa chako hapa kuokoa mwingine atakayetaka kutapeliwa kama wewe

Na sasa wamepewa App ambayo aifanyi kazi wametolewa nje ya uwanja na pesa zao zimeondoka! Hapa chini ni moja ya namba zao hao matapeli na group lao sasa vyombo husika fuatilieni hiki Kikundi cha wezi Wananchi kuweni makini mistake njia ya makato.
IMG_2291.jpeg
IMG_2292.jpeg

IMG_2294.jpeg
 

Attachments

  • IMG_2293.jpeg
    IMG_2293.jpeg
    961.5 KB · Views: 1
  • IMG_2295.jpeg
    IMG_2295.jpeg
    309.9 KB · Views: 2
NCHI INATIA HURUMA HII. HIVI VYOMBO VYA USALAMA VIPO WAPI?

WAPO BUSY NA CHADEMA HUKU WANANCHI WANAZIDI KUUMIA.
 
Back
Top Bottom