Watangazaji wanaochekacheka

uajekundu

JF-Expert Member
Jan 14, 2016
541
461
Kumezuka mtindo Wa watangazaji Wa redio vipindi vya Asubuhi, wanachekacheka bila sababu, hata hawaeleweki, point hawana, wanatangaza kitu hakichekeshi wao wanacheka tu....its boring....naomba watangazaji wajifunze kutafuta facts kabla ya kingia studio na topic zao za Siku na waache kujichekesha....vipindi vya redio asubuhu sikuizi ni pumba tupu, kelele mwanzo mwisho, Kwa baadhi ya redio stations lakini
 
Hebu waandike kwa majini na mimi niwasikilize wanavyo cheka cheka.
Maana huwa napenda sana kuchekewa chekewa.
 
Toa mfano ili tujue maana wengine hua ni wa chekeshaji mf. efm wanamuweka yule wa fimbo chapa yeye ni mchekeshaji hao unao wataja wewe wanachekesha kwenye taarifa ya habari au ?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…