Watangazaji wa kipindi cha ubaoni Efm muwaombe msamaha Chege na Temba

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,655
Jana katika kipindi cha Ubaoni Efm watangazaji wa kipindi hiki bila kuona aibu waliwaambia Chege na Temba waache musiki wakauza Pweza kusema ukweli niliwashangaa sana na kuwadharau hivi kuna Mtanzania asiyejua uwezo wa Temba na Chege,watangazaji wa Tanzania wanatumia majukwaa ya Radio zao kutangaza chuki binafsi.

Nakuomba waziri wa Habari, Nape Nnauye kukomesha tabia hii ya kutumia radio kuanza kuwashambulia wananchi, Temba na Chege ni wasanii wakubwa sio wa kuwaambia wakauze pweza.

1:Mpoki
2:Seti
Na kibonde wa clouds ni baadhi ya watangazaji wanao tumia vibaya radio
 
Jamani acheni huharibu brand za watu, hivi mnajua wametumia gharama kiasi gani kufika hapo walipo, Naomba radio presenters na wadau wa humu ndani msitumie vibaya fursa zenu kuua na kuopotosha jamii pia kuharibu image za wengine, hasa watangazaji msitumie fursa mliona nayo kuua ajira za wasanii kwa chuki zenu binafsi
 
Kwa chege wamekosea ila tembe kweli akauze pweza
Woote tuu wamechoka enzi zao zimepita.walikua wanabebwa na Nature kipind cha Wanaume Family..kwasasa hata wakija kwetu huku mkoani sijui nani ataweza toa pesa yake hata elf tano akawaangalie habar ya mujini sasa no Diamond ,Darasa Rayvan, Harmo rapa..Roma,Jeremaiah, nawengine..
 
acha ujinga ww
 

Huyu Jeremaiah wa nchi gani..?
 
Walichoongea siyo uongo ila wamekiongea kwa ukali mno.

Chege bado ana sauti na melodi ile ile, kosa ambalo analifanya Tundaman kila siku. Spark alikua anafanya kosa hili hili leo yuko wapi? Kilichomtupa mapema ni kukosana na Tip Top.

So kiukweli Chege hamna kitu, ukisikiliza nyimbo zake zote sauti na melodi ni kile kile.

Huyo Temba wimbo wake mzuri niliousikiliza hata leo naweza kuusikiliza ni 'Mpenzi Nakumaindi' baada ya hapo sijaona wimbo ambao amebadilika namna ya kurap, ni vile vile.

Yaani wimbo wowote wa Temba unaweza ukawa umefumba macho upo usingizini na hujawahi kuusikia na ukajua tu huyu ni Temba, the same to Chege. Unakasirika nini ukiambiwa hauwezi tena game?
 
Chege aache kumbeba Temba.

Chege kama Chege huwa anaimba vzuri sana kama akiimba peke yake Ila akimuweka Temba wimbo lazima uwe mbovu na usiosikilizika.
 
Nafkir mtoa mada jana
Ndo mara yako ya kwanza
Kumskia mpok akiongea
 
Mhh ila hii nyimbo yao ya go down wamecheza boko bora hiyo pesa wangefanya ni mtaji wa Brazilian hair
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…