Mkuu mwanga lutila angalia na vimo......lazima huyo ke wa katikati (shati jeusi) atakuwa na huyu wa mwisho aliyevaa shati jeusi.....sina uhakika...Sasa hapa tutajuaje nani ni nani na mke wa nane?...
Kila mtu angemshika Mwenzake Kiuno..
Hata mjinga ana comment pia..ujinga mwingine bana ata mjinga anashangaa
Mtangazaji wa kike ni yupi hapo maana wengine hatuna Tv...
Lady is First...Sasa kama huna TV kwa nini umeuliza wa kike tu?
Sasa hapa tutajuaje nani ni nani na mke wa nane?...
Kila mtu angemshika Mwenzake Kiuno..
Kweli kabisaaaaujinga mwingine bana ata mjinga anashangaa
unataka wafanyane?Hapo tutajuwaje kama ni wake zao sasa?
Hahahahaa...watu mna mambo, eti suruali ya njiwa duh!Mke wa Kamoga ni huyo mwenye nyekundu, mke wa Sasali ni huyo dada mwenye nyeusi na hiyo njemba yenye suruali ya njiwa ndiyo Mume wa Babie Kabae hiyo ya nyuma yao ya rangi ya kijani ni background wakati vilivyojificha hapo nyuma yao ni viti vya studio ya 360 ya clouds tv wakati mbele yako hapo hiyo ni meza na hayo uyaonayo hapo ni magazeti ya siku hiyo huku hapo jirani kwa Kamoga hiyo ni script imegandamizwa na simu yake wakati chini yao wote kuna kapeti zuri na mbele yao kuna cameraman wao wakati hayo unayoyaona yaking'aa kwa Kamoga, Babie, Mke wa Sasali na kwa mbali pia yanaonekana kwa Sasali ni meno yao. Sijui una swali tena jingine Mkuu ili nizidi kutiririka kutolea ufafanuzi ULIOTUKUKA!
Umeandika 'kidaslamu' zaidi...Mke wa Kamoga ni huyo mwenye nyekundu, mke wa Sasali ni huyo dada mwenye nyeusi na hiyo njemba yenye suruali ya njiwa ndiyo Mume wa Babie Kabae hiyo ya nyuma yao ya rangi ya kijani ni background wakati vilivyojificha hapo nyuma yao ni viti vya studio ya 360 ya clouds tv wakati mbele yako hapo hiyo ni meza na hayo uyaonayo hapo ni magazeti ya siku hiyo huku hapo jirani kwa Kamoga hiyo ni script imegandamizwa na simu yake wakati chini yao wote kuna kapeti zuri na mbele yao kuna cameraman wao wakati hayo unayoyaona yaking'aa kwa Kamoga, Babie, Mke wa Sasali na kwa mbali pia yanaonekana kwa Sasali ni meno yao. Sijui una swali tena jingine Mkuu ili nizidi kutiririka kutolea ufafanuzi ULIOTUKUKA!
Hongera kwa ufafanuziMke wa Kamoga ni huyo mwenye nyekundu, mke wa Sasali ni huyo dada mwenye nyeusi na hiyo njemba yenye suruali ya njiwa ndiyo Mume wa Babie Kabae hiyo ya nyuma yao ya rangi ya kijani ni background wakati vilivyojificha hapo nyuma yao ni viti vya studio ya 360 ya clouds tv wakati mbele yako hapo hiyo ni meza na hayo uyaonayo hapo ni magazeti ya siku hiyo huku hapo jirani kwa Kamoga hiyo ni script imegandamizwa na simu yake wakati chini yao wote kuna kapeti zuri na mbele yao kuna cameraman wao wakati hayo unayoyaona yaking'aa kwa Kamoga, Babie, Mke wa Sasali na kwa mbali pia yanaonekana kwa Sasali ni meno yao. Sijui una swali tena jingine Mkuu ili nizidi kutiririka kutolea ufafanuzi ULIOTUKUKA!