Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,281
- 5,847
hope mpo na uzima,
hawa watangazaji wa clouds TV hasa wa 360 kiukweli wanakera watu....... jamaa wananjaa ya teuzi utadhani wakiupata watafanya mageuzi.
kinacho uma sasa mpaka dada angu Baby nae ashaanza kuonesha njaa yake...
wanajua kuponda watendaji, wapinzani na wanajua kusifia serikali kwao hamna kosa hata, ili mradi nafasi zao ikibidi wapewe wao.
ukiangalia mitoto ya kiume lakini inatamaa hatari...... yanataka maisha mazuri kimteremko tuuu eti kisa mwenzao rais alimuonaga.
wanadhani Mheshimiwa anachagua mavuvuzela tuu wanaosifia kila kitu...imekula kwao Rais ana vetting ya maana (makini kabisa) haiwezi pitisha wagonga ulimbo ka ninyi.......... kiukweli mnazingua kinoma mnakera kusahau maadili ya kazi yenu na kuweka maslai yenu mbele kama pua ya nguruwe.
kitaalamu:
mnaharibu na kuvunja taratibu za utoaji habari kwakua habari (porojo) zenu haziko fair kabisaaa na ni kinyume na taaluma ya uwana habari.
tunajua nyie ni wana ccm lakini si vyema kuweka mbele uchama wako katika jukumu linalokuhitaji kuhudumia woote pamoja na itikadi zenu. kuna wengine tumeshakata tamaa kuwategemea nyie kama vyanzo makini vya habari.
msipokua makini na kiburi chenu ipo siku yasemwayo hayato waacha salama!
salamu wafikishieni kama hawapo humu.