Mkuu nimecheka sanaKufuatia kauli ya mwenyekiti wa ccm ambaye pia ndiye rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania Mh. John Joseph Pombe Magufuli kuwa kazi ya urais ni ngumu sana kiasi kwamba anajuta kwanini aliiomba, na kuongeza anatamani kazi hiyo iishe hata kesho!!!!
Ni dhahiri kuwa Mungu akituweka hai Magufuli hatagombea tena urais 2020.
Ukweli huu umesababisha wanaccm kuanza kupigana vikumbo katika jitihada za kung'arisha nyota zao.
Mwigulu Nchemba anaonekana kulianzisha mapemaa na marufuku ya kusafiri nje kwa wale waliotajwa kwenye ripoti ya pili ya makinikia.
Lukuvi kaanza kitambo kidogo hadi kufikia kuzuia ujenzi kwenye maeneo ambayo hayajapimwa, achilia mbali kunyang'anya ardhi kwenye manispaa zilizo chini ya vyama vya upinzani.
January bado anajiandaa atokeje, ingawa kampeni meneja wake (fina mango) amemchomeka pale Gymkhana club kuwa makamu wa mwenyekiti ili kutafuta uungwaji mkono kwa vingunge na vibopa wa chama.
Nimejaribu kumtafuta VUTA-NKUVUTE nijue msimamo wake juu ya tetesi hii nimeambulia patupu.
KAMA NI KKWELI TUNAWATAKIA KILA KHERI WAMACCM KATIKA MTIFUANO HUO.
acheni ndoto.andikeni vitu vya maana
Hizi ramli hazijawahi kumuacha mtu salamaKufuatia kauli ya mwenyekiti wa ccm ambaye pia ndiye rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania Mh. John Joseph Pombe Magufuli kuwa kazi ya urais ni ngumu sana kiasi kwamba anajuta kwanini aliiomba, na kuongeza anatamani kazi hiyo iishe hata kesho!!!!
Ni dhahiri kuwa Mungu akituweka hai Magufuli hatagombea tena urais 2020.
Ukweli huu umesababisha wanaccm kuanza kupigana vikumbo katika jitihada za kung'arisha nyota zao.
Mwigulu Nchemba anaonekana kulianzisha mapemaa na marufuku ya kusafiri nje kwa wale waliotajwa kwenye ripoti ya pili ya makinikia.
Lukuvi kaanza kitambo kidogo hadi kufikia kuzuia ujenzi kwenye maeneo ambayo hayajapimwa, achilia mbali kunyang'anya ardhi kwenye manispaa zilizo chini ya vyama vya upinzani.
January bado anajiandaa atokeje, ingawa kampeni meneja wake (fina mango) amemchomeka pale Gymkhana club kuwa makamu wa mwenyekiti ili kutafuta uungwaji mkono kwa vingunge na vibopa wa chama.
Nimejaribu kumtafuta VUTA-NKUVUTE nijue msimamo wake juu ya tetesi hii nimeambulia patupu.
KAMA NI KKWELI TUNAWATAKIA KILA KHERI WAMACCM KATIKA MTIFUANO HUO.
you don't deserve a response from mimi...this is the last oneUmevutwa kuja humu kusoma huu uzi!? Eeeeh andika yako hayo kama una la maana ukianzisha thread nitag, acha watu waburudike na yao humu.
asipo gombea ataishia jela kwa kesi za ufisadiKufuatia kauli ya mwenyekiti wa ccm ambaye pia ndiye rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania Mh. John Joseph Pombe Magufuli kuwa kazi ya urais ni ngumu sana kiasi kwamba anajuta kwanini aliiomba, na kuongeza anatamani kazi hiyo iishe hata kesho!!!!
Ni dhahiri kuwa Mungu akituweka hai Magufuli hatagombea tena urais 2020.
Ukweli huu umesababisha wanaccm kuanza kupigana vikumbo katika jitihada za kung'arisha nyota zao.
Mwigulu Nchemba anaonekana kulianzisha mapemaa na marufuku ya kusafiri nje kwa wale waliotajwa kwenye ripoti ya pili ya makinikia.
Lukuvi kaanza kitambo kidogo hadi kufikia kuzuia ujenzi kwenye maeneo ambayo hayajapimwa, achilia mbali kunyang'anya ardhi kwenye manispaa zilizo chini ya vyama vya upinzani.
January bado anajiandaa atokeje, ingawa kampeni meneja wake (fina mango) amemchomeka pale Gymkhana club kuwa makamu wa mwenyekiti ili kutafuta uungwaji mkono kwa vingunge na vibopa wa chama.
Nimejaribu kumtafuta VUTA-NKUVUTE nijue msimamo wake juu ya tetesi hii nimeambulia patupu.
KAMA NI KKWELI TUNAWATAKIA KILA KHERI WAMACCM KATIKA MTIFUANO HUO.
Naendelea kukwambia hizo ni ramli tuKwani wewe hujasikia rais anavyolalamikia ugumu wa kazi ya urais?
Au hujasikia akiomba hata ikiwezekana kazi iishe kesho!!!
Hii ina maana uchaguzi ujao hatachukua form!!!!
you don't deserve a response from mimi...this is the last one
Je una maana hizi tetesi siyo kweli?Naendelea kukwambia hizo ni ramli tu