Hii ni dharau kubwa sana kwa watanganyika maana walio jaa hapo ni watanganyika na wala sio wakenya wala wakongo ,na wana haki sawa kabisa kama wale wanao andamana na T-Shirt za SAMIA kila siku mabarabara mara wakiwa na Jokate, mara wakiwa na Nchimbi
Wana haki sawa kabisa maana nao ni hawa hawa Watanganyika siasa inahitaji sana uvumilivu na kuvumiliana na wanawake huwa hawana moyo huo.
Wana haki sawa kabisa maana nao ni hawa hawa Watanganyika siasa inahitaji sana uvumilivu na kuvumiliana na wanawake huwa hawana moyo huo.