Wataalamu wa Music Artwork (Cover) naombeni msaada

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,973
10,496
Nimekuwa nikijifunza kutengeneza Music ArtWork Cover kwa miezi miwili sasa kwa kutumia android apps. Cha ajabu ninapo-upload on YouTube, zinakuwa na quality duni sana ingawaje wakati nasave project huwa nachagua High Quality, 30fps.

Tatizo linaweza kuwa wapi? Au ni kwa sababu natumia simu badala ya PC wakati wa utengenezaji? Nimejaribu kumuuliza ChatGPT anadai kuwa baadhi ya simu hazina uwezo wa kufanya rendering ya high Quality, natumia note 8 Samsung
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom