Wataalamu wa ESS njooni mtumbue hili jipu kwa kutoa msaada

copyright

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
564
559
Wakuu poleni na hongereni Kwa majukumu!

Naomba msaada wenu hatua kwa hatua jinsi ya kuapprove request ya uhamisho kwenye mfumo wa ESS kwa supervisor.

Mimi ni supervisor lakini nashindwa kupitisha ombi la mfanyakazi wangu hapa ofisini hivyo naomba mnisaidie kutumbua hili jipu kwa kunipa huo msaada.

Natanguliza shukrani..

© Copyright
 
Ofisini yenu in IT officer?
 
Supervisor na hauna namba za wataalamu wa mfumo?? Uliudhuria mafunzo kweli au ndio ulipata muda wa kwenda likizo huku umesaini posho?!!
 
Wakuu poleni na hongereni Kwa majukumu!

Naomba msaada wenu hatua kwa hatua jinsi ya kuapprove request ya uhamisho kwenye mfumo wa ESS kwa supervisor.

Mimi ni supervisor lakini nashindwa kupitisha ombi la mfanyakazi wangu hapa ofisini hivyo naomba mnisaidie kutumbua hili jipu kwa kunipa huo msaada.

Natanguliza shukrani..

© Copyright
Unakwama wapi?

Ni department supervisor au work station supervisor?
 
Wakuu poleni na hongereni Kwa majukumu!

Naomba msaada wenu hatua kwa hatua jinsi ya kuapprove request ya uhamisho kwenye mfumo wa ESS kwa supervisor.

Mimi ni supervisor lakini nashindwa kupitisha ombi la mfanyakazi wangu hapa ofisini hivyo naomba mnisaidie kutumbua hili jipu kwa kunipa huo msaada.

Natanguliza shukrani..

© Copyright
Mfumo WA ESS bado haujakaa vizuri, kama unaweza ku approve manually fanya hivyo. Nakwambia hivi kwasababu upande wa E-Loan nao Una tatizo na nikaapply mkopo bank direct na utumishi wakaupitisha so are you.
 
Mfumo uko poa Tu.

Kwenye E-loan unaaply na kupata mkopo ndan ya masaa 24
 
Huo mfumo wa E-loan naupata wapi mbona sijajua unapatikanaje mtandaoni kwa bank ya nmb
 
Back
Top Bottom