Wataalamu wa Auto CAD tukutane hapa

Ila kwa upande wangu solidwork iko chuma chana unaweza fanya amazing mpaka roho yako ikasuuzika kwa kudesign part mbalimbali
Sure mkuu,ila hata Auto CAD unaweza fanya vitu amazing,lkn solidwork iko vizur zaidi
 
Kuna mtu ametumia master series na robot autodesk??

Kwa nnavyoona hizi ziko njema sana kwenye structural design kuliko hizo nyingine!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…