God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,028
Kuna jamaangu alimaliza 2011 till today. Ukiona kitaa kinazingua jitie PGDE upate ajira za uhakika ualimu serikalini bhasi
habari za jion wana jf. wakubwa shkamoo, wadogo mnisalimie na 20yrs na wale tunaolingana niaje.
mimi ni dent wa chuo kimoja hapa iringa sina aman nachukua bachelor ya mambo ya computer. sasa wasi wasi wangu ni kuajiriwa sababu na jua hii sayansi ya computer haina ajira but nakomaa kama vipi ntaenda kufundisha somo la computer pivate school ila naamini katika Mungu sababu kanitoa mbali sana. kuna vyuo kama udsm, sua na muhas vinasifika sana so naona ajira kwa graduates wa huko ni fasta tuu sasa wasiwasi wangu ni hivi vyuo vya private kama makumira, tumaini/iringa, rucu/ruco theofilo kisanji n.k ivi graduates wa hivi vyuo huwa wanapata ajira kweli au zle na kupiga magoti na rushwa za ngono. wanaheshimiwa kwel. wale maboss, waajiri na human resource manager naomben ushauri wenu na kwa faida ya wengine ahsanten sana.
Jiandae kujiajir,,hujamaliza hata chuo unazungumzia kuajiriwa,,? Utasugua gaga na computer yako masela kibao mtaan wanajua computa na hawana vyet,,km vp hama koz,,nimesoma muhas mwez wa3 ss nazunguka na bahasha ya kak tempo tu na kujiajir ndio znanilinda mchakato wa post za serikal bd kwahiyo ujiandae kujiajir sio kuajiriwa
Umeshajibu hapo mwisho
Jiandae kujiajir,,hujamaliza hata chuo unazungumzia kuajiriwa,,? Utasugua gaga na computer yako masela kibao mtaan wanajua computa na hawana vyet,,km vp hama koz,,nimesoma muhas mwez wa3 ss nazunguka na bahasha ya kak tempo tu na kujiajir ndio znanilinda mchakato wa post za serikal bd kwahiyo ujiandae kujiajir sio kuajiriwa
Hiyo MUHAS gani uliyosoma wewe ..Mbona graduates wote wapo internship kwa sasa
Au kuna MUHAS nyingine ambayo siijui?Au wewe umemaliza diploma?
Mwanafunzi,
Kwanza kabisa jiamini katika unacho kisoma, jitahidi kujifunza uelewe uwe compitent katika unachokisomea.
Pili, tambua kwamba kila taaluma inayosomwa ni muhimu na inahitajika, but inategemea nawewe umejiandaa vipi kulikabir soko la ajira?
Tatu, ile dhana kwamba chuo fulani ni bora na kingine sio bora siku hizi imebak maneno. Binafsi nimehudhuria interviw nyingi na watu wakutoka vyuo hivyo hivyo ulovyo vitaja sijaona kabisa ubaguz wa vyuo katika kupita, kwa zile interview za halali bila mizengwe huwa wanapita mtu yoyote, na kunakuwa na usawa.(kutokana na uzoefu wangu binafsi)
Tatu koz unayoisoma ni kozi yenye fursa za ajira, na pia kujiajiri. Ni vema ukaanza kuwa na plani hizo mbili kwa pamoja. Anza kujijengea mazingira ya kufahamiana na waajili na pia sehem ambapo wenye taaluma hiyo wanaajiliwa.
Penda saana kuhudhuria career fairs ambazo zinatolewa hapo chuon kwenu zitakusaidia kuelewa fursa za ajira, na mahitaji ya soko...
Mkuu jiamini
Kwa kukusaidia level ya university bhakuna chuo cha serikali au private, ni bidii yako
uko sahihii mkuu ila mm huwa napenda kufocus mbele sio kwenda tuu kama kuku. napenda kufanya kazi zangu kwa target. pia cna hofu though ni mambo tuu yakawaida kureseach mambo.We jamaa since uko selected apo Rucco unagwaya gwaya tu Na unavyojifeel duni hata confident inapungua kabisa