Wataalam wa afya, Maiti huanza kuoza baada ya muda gani?

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,683
14,050
Wataalam wa afya kwa yoyote mwenye ufahamu kuhusu hili.

Maiti huanza kuoza baada ya muda gani kupita na hutumia muda gani kuweza kumalizika yote na kubaki mifupa tu?

Note. Kwa maiti zote zilizo achwa wazi na zilizo zikwa ardhini
 
Na mmekazana kweli weekhili
Tunazaliwa ili tufe.

Wenda uzi wangu umeingiliana na hao wengine ila mimi binafsi nauliza hilo swali kwa sababu za msingi sana.

Kuna kitu nahitaji kufahamishwa
 
Wataalam wa afya kwa yoyote mwenye ufahamu kuhusu hili.

Maiti huanza kuoza baada ya muda gani kupita na hutumia muda gani kuweza kumalizika yote na kubaki mifupa tu?

Note. Kwa maiti zote zilizo achwa wazi na zilizo zikwa ardhini
Ikiwekewa Dawa ya Formaline ni baada ya Saa kati ya 12 hadi 48 ila isipowekewa ni baada ya dakika 15 hadi 30 na ndiyo kila mara GENTAMYCINE nahubiri kuwa Wanadamu tuache Kuringa, Kutamba na Kudharau Watu kwani pamoja na Nyodo zote hizo ila Tukifa tu tunakuwa ni zaidi ya Mizoga kwa Kutema / Kunuka vibaya kutokana na hali zetu za Kibaiolojia.
 
Back
Top Bottom