Hii tabia ya kutaja makabila ikome, sawa?. sisi hatuna shida na chai, hata sukari isipokuwepo poa tu, nyie watu wa Dar mtakufa hii awamu na bado.
unajitafutia jela, utaipata.
View attachment 349045 utafungwa bure kutania makabila ya wakubwa View attachment 349045
Ndugu makabila hapa Tz yana utani. Ukiona mashambulizi mengi ujue mna watani wengi by the way wasukuma ni kabila kubwa so kutaniwa sana jambo la kawaida.Hii tabia ya kutaja makabila ikome, sawa?. sisi hatuna shida na chai, hata sukari isipokuwepo poa tu, nyie watu wa Dar mtakufa hii awamu na bado.
Imekuingia barabara...pole sana maana mpo number 1 kwa ushamba nchi nzima.Hii tabia ya kutaja makabila ikome, sawa?. sisi hatuna shida na chai, hata sukari isipokuwepo poa tu, nyie watu wa Dar mtakufa hii awamu na bado.
Sasa kama ndo jamii pekee ya kutolewa mifano ya ushamba tufanyeje sasa?Tuwasingizie wengine wakati nyie mpo?Dah kuna watu aspo gusia wasukuma chooni haendi kabisaaa, kila kituko kinaelekezwa kwa wasukuma Daaah!!!
Haya tunakubali, basi mtulipe, watu wa masoko hasa, wanawakandamiza wasukuma sana kwenye mawasiliano, benki hata bima, uzuri mnatuona malodi lofa, hela tunayo kwa namna moja au nyingine, kateni pochi..Ndugu makabila hapa Tz yana utani. Ukiona mashambulizi mengi ujue mna watani wengi by the way wasukuma ni kabila kubwa so kutaniwa sana jambo la kawaida.