johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,127
- 164,543
Wataje Wakongwe wote wa TANU au CCM kwa sasa Lazima Wana wa viuno vyao utawakuta ama Siasani au kwenye Utendaji Serikalini au Mashirika ya kimataifa na wengine wanang'ara kwenye sekta binafsi
Ila sijawahi kulisikia jina la Wassira pahala pengine zaidi ya Yeye mwenyewe Mzee Stephen
Yawezekana Huyu Mzee ni Mzalendo wa kweli hataki kabisa mambo ya kubebanabebana kama Akina Mzee Mtei na vijana wao wa Kaskazini
Mlale Unono 😀😀