masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,143
- 13,722
Usasa na kujidai kwenda na wakati kukizidi jibu ni raba-mtoni.View attachment 2908713
Katika ibada ya mazishi ya Dr D Kamla, wasomi wenziwe waliamua kuvaa full Academic gear kuonyesha usomi wa marehemu Dr Diodorus Kamala.
Sasa msomi mmoja, tena yuko mbele kabisa , KAVAA RABA!
Hapo nimechoka!
No wonder tuna wasomi ambao hawajapikika!
Wasomi Mzumbe University mmekosa viwango.
Kutokuwa na muda wa kujipamba ni tofauti sana na kuwa na muda wa kupangilia mambo.Msomi hana muda wa kujipamba
Ilikuwa na ulazima wa yeye tu kuchukua nafasi hiyo?Where is punctuality and preparedness?Labda ana matatizo ya magoti. Viatu vilivyo karibu vilikuwa ni raba
Mwisho utavaa ndala na suti, kwako wewe sawa tu.MLeta uzi ana majigambo ya kihaya sana sasa kwani kuna shida gani kuvaa raba
Kwani joho ni suti?Mwisho utavaa ndala na suti, kwako wewe sawa tu.
Mkuu umekuwa mkali sana!Ilikuwa na ulazima wa yeye tu kuchukua nafasi hiyo?Where is punctuality and preparedness?
Hatari sana.Mvaa rabamtoni ametoa ladha na mlio wa ska kwa wenzie uliotarajiwa kusikiwa na waombolezaji.Mkuu umekuwa mkali sana!
kwan kulikua na maonyesho au mitindo ya uvaaji ama ni mazishi 🐒View attachment 2908713
Katika ibada ya mazishi ya Dkt. Kamala, wasomi wenziwe waliamua kuvaa full Academic gear kuonesha usomi wa marehemu Dkt. Diodorus Kamala. Sasa msomi mmoja, tena yuko mbele kabisa , KAVAA RABA! Hapo nimechoka!
No wonder tuna wasomi ambao hawajapikika!
Wasomi Mzumbe University mmekosa viwango.
acha ushanba wewe kuna wengine ni kwa ajili ya health reasons sio unakurupuka tu by the way hata angevaa pensi inahusu? mnahangaikaaaaa na vitu very minor, sasa angevaa moka ndio huyo jamaa angefufuka amaMwisho utavaa ndala na suti, kwako wewe sawa tu.
Mijitu mijinga kama ninyi ndio mtavaa chupi nje ya suruali kwa vigezo vya kutafuta makwapani!acha ushanba wewe kuna wengine ni kwa ajili ya health reasons sio unakurupuka tu by the way hata angevaa pensi inahusu? mnahangaikaaaaa na vitu very minor, sasa angevaa moka ndio huyo jamaa angefufuka ama
Ukiona Rais kavaa singlet mazishini ujue kuna tatizo.kwan kulikua na maonyesho au mitindo ya uvaaji ama ni mazishi 🐒
nadhani si muhimu sana kulizingatia hilo...
Mwendo ameumaliza, Imani ameilinda Dr.D.Kamala apumzike kwa Amani
huna akili very narrow mindedMijitu mijinga kama ninyi ndio mtavaa chupi nje ya suruali kwa vigezo vya kutafuta makwapani!
Hizo ni moja ya sifa zangu, sasa hujajibu swali la kuvaa chupi nje ya suruali!huna akili very narrow minded