masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,173
- 13,779
Katika ibada ya mazishi ya Dkt. Kamala, wasomi wenziwe waliamua kuvaa full Academic gear kuonesha usomi wa marehemu Dkt. Diodorus Kamala. Sasa msomi mmoja, tena yuko mbele kabisa , KAVAA RABA! Hapo nimechoka!
No wonder tuna wasomi ambao hawajapikika!
Wasomi Mzumbe University mmekosa viwango.