hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 13,689
- 21,166
Wasiyoyajua Waislamu wengi
Utakuta shekhe/ustadhi/kijana wa kislamu amevimba mishipa ya shingo akiisifia Quran kuwa ni kitabu cha pekee kilichotunzwa toka karne ya 7, kwamba kina mambo ya sayansi toka karne hiyo na kimetukuka. Hapo wakifikiri karne ya 7 ni mbali sana. 😀
Ngoja niwape shule kidogo; unajua hiyo karne ya 7 imetokanaje?
Basi tambua leo kuwa huo ni mpangilio wa miaka ya Wakristo toka kuzaliwa Kristo. Karne ya 7 ni miaka 600 toka kuzaliwa Kristo. Ndio maana inaandikwa 600 B.K (Baada ya Kristo) ama AD kwa English. Hivyo ni hesabu za Wakristo toka Bwana wao alipozaliwa. Hivyo msije fikiri ni mbali sana hiyo karne ya 7. Muelewe tu kuwa nyuma ya kuzaliwa Kristo kulikuwa na maelfu ya miaka. Na toka kuzaliwa kwake hadi sasa ni miaka 2000 imepita.
Hivyo basi Uislamu na Muhamad na Quran ni wageni tu hapo nyuma. Walikuta tayari kuna dini, serikali, maarifa na sayansi. Hata ukisikia islamic golden age ni wakati wa utawala wa Ukhalifa wa Abasia mnamo karne ya 8 baada ya Kristo. Hawa walichota mengi kwa Wakristo, Wagiriki, Warumi na Wayahudi na kuyaweka pamoja hapo Baghdad. Na wakati huo ndio hadithi za Muhamad ziliandikwa kwa 90%. Huu wakati ndio unaitwa wakati wa dhahabu na maarifa kwa Waislamu, je ni maarifa kutoka wapi? Ni kwa wageni na si Waarabu.
Hivyo hata aina za majengo ambayo leo wanayaita msikiti ni muigo wa ujenzi wa Byzentine (Warumi/Wagiriki) na Wayahudi. Maana Muhamad hakukuta majengo katika bara Arabu zaidi ya alkaaba, sababu Waarabu waliishi kwenye mahema ama vijengo vya tembe kama vile vya Wagogo na Wanyaturu. Na hadi anakufa Waislamu hawakumiliki majengo ya kisasa na maburuji, na zaidi hawakuwa na maendeleo ya kisayansi na tekinolojia zaidi ya kuteka na kupora maeneo ya wenzao kwa upanga.
Wakati wa Khalifa Ally (khalifa wa 4 baada ya Muhamad) ndio alihamia Basra Iraq, huko ndipo wakakuta majengo na maendeleo makubwa yaliyoundwa na Wakaldayo, Wapersia, Wagiriki. Na baada ya kufa kwake (kwa kuuliwa na waislamu wenzake) ndipo familia ya kisuni ya Umayah (iliyomuua) ikaunda ukhalifa wa kifalme na kuweka ngome yao Siria iliyokuwa imejengwa na Wakristo wa Orthodoksi. Sababu ya uzuri wa Siria (Shamu) walionelea waweke ngome yao hapo. Hivyo wakabadilisha majengo ya kuabudia wakristo (aka makanisa) kuwa misikiti yakiwemo masinagogi ya Wayahudi. Na wakachukua wanasayansi na wabunifu wa Byzentine (orthodoksi) ili kuwajengea majengo kwa mithili ya majengo ya Konstantinopoli. Mfano hilo shubaka (dome) si aina ya ujenzi wa Kislamu bali kiothodoksi ambao waislamu waliomba kujengewa, maana walikuwa washamba sana (wafuga Ngamia). Hata alama nyingi katika uislamu ziliundwa wakati wa utawala wa ukhalifa wa Umayah, aliyekopa alama kibao toka kwa Waorthodoksi, Wagiriki na Warumi na kuzifanya alama za Uislamu. Mfano nyota ya pembe sita (octagon) ambayo inajulikana kama alama ya Uislamu, ni ukopaji tu.
Hivyo Uislamu ni dini iliyoundwa undwa kwa ukorombwezo wa ukopaji kutoka katika dini zilizotangulia (Wayahudi, Wakristo na Upagani). Hata hoja za kisayansi ndani ya Quran ni uzushi mtupu. Maana kama wangekuwa wajuzi wa sayansi basi leo Arabuni ingekuwa mbele kwa tekinolojia, ila ndio wapo nyuma, na kwa 99% mambo ya kitekinolojia wanafanyiwa na wazungu.
Waislamu muelewe tu sayansi na tekinolojia zilikuwepo hata kabla ya Quran. Mjiulize Nuhu aliwezaje kujenga meli kubwa kama ile (Safina)? Mjiulize Nimrod aliwezaje kujenga Mnara (gorofa) refu pata ile? Au hamjui vipimo vya ujengaji? Muwaulize mainjinia wa majengo watawaambia. Ama mjiulize Mafarao walipata wapi ujuzi wa kujenga mapiramidi yenye mita 200? tena yenye vipimo vyenye mkabala wa nyota za angani, na mianga ya jua? Hivi unaelewa mita 200 wewe? Ni viwanja viwili vya mpira. Angalieni majengo ya kushangaza huko Ugiriki na Rumi, yamejengwa kwa ustadi sana. Huko America jamii ya Mayan imeacha historia ya ajabu, walijenga na kubuni vitu vya ajabu sana. Eti Quran imeelezea bing bang? Unajua hiyo dhana imetokanaje?
Sikiliza, Quran haina jipya, hata uduara wa dunia ulijulikana enzi za Mafarao, angalia Wagiriki wana sanamu zimeshika duara ya dunia toka miaka hiyo. Hata Ayubu na Isaya wa Biblia kabla ya Mgiriki walitambua dunia ni duara na inaelea angani. (Ayubu 26:7; Isaya 40:22). Je Muhamad alikuwepo ama Quran?
Hivyo Quran haina jipya zaidi ya masimulizi ya visa vilivyotokea nyuma hasa kwenye Biblia. Na zile hadithi za apokrifa za Kikristo, Kiyahudi na kipagani ndio zimejazana humo. Na ndio maana Quran haina mpangilio zaidi ya kurukaruka habari. Na ukubwa wa Quran ni unazidiwa na agano jipya la Biblia. Na Quran haijitoshelezi kuunda Uislamu, inaunda Uislamu kwa % chache na sehemu inayobakia imeundwa na hadithi za Muhamad, Fiqh na hoja za maulamaa (wasomi).
Hilo jengo la dome of the rock hapo Yerusalem, (angalia picha) lilijengwa na injinia toka Byzentine (muorthodoksi), limejengwa mithili ya majengo ya kifalme na kikanisa ya Konstantinopoli. Khalifa wa Umayad alipendelea hivyo mnamo karne ya 8 na akajenga msikiti wa Alaqsa kando ambao Waislamu walipotoshwa wakifikiri ulikuwepo toka enzi za Suleman. Alijenga kwa kuficha uchi wa Muhamad aliyedai alienda hapo usiku kimuujiza katika safari inayojulikana kama Isra al miraj na kukuta msikiti wa Suleman na manabii wote akawasalisha kisha akaenda hadi mbingu ya saba na kuonana na Allah. Umar alipokuja kuivamia Yerusalem mnamo 634 B.K hakukuta msikiti hapo, akashangaa. Huenda alijisema moyoni mtume alituchapa kamba. 😀. Zaidi alikuta kanisa la Orthodoksi na uwanja (eneo) tupu wa hekalu (unaojulikana kama temple mount) naam hekalu la zamani la Wayahudi. Myahudi Kaab aliyesilimu ndio alimwonesha Umar eneo ambalo lilikuwepo hekalu la Suleman, ndipo akajenga msikiti wa miti hapo kwa aibu na baadae karne ya 8 katika utawala wa Umaya ndipo wakajenga msikiti wa Alaqsa ambao umekuwa tatizo hadi leo hivi.
Najua Waislamu mtaumia lakini ndio ukweli, vumilieni muelimike.