Wasiwasi wa kutomwamini mpenzi wako kila mara, ni nini huwa ni mzizi au chanzo chake?

pmm7

Member
Sep 28, 2022
76
71
Kuna hali flani katika mahusiano ambayo si kila mtu anaijua ila kuna baadhi huwakuta na huwafanya washindwe kudumisha mahusiano yao. Kuna rafiki yangu mmoja aliwahi kuniomba ushauri kuwa mpenzi hana imani na mpenzi wake anahisi anamcheat huku mpenzi wake akikataa uzushi ule ,kitu kilichopelekea wakawa na ugomvi wa mara kwa mara na mahusiano kukosa furaha.

Hali hii iliendelea na kusababisha jamaa kuwa anavunja mahusiano ila hamalizi hata siku mbili anamwomba msamaha mpenzi wake, hii ni kutokana na kuwa alikuwa anavunja mahusiano kwa kutumia sababu ambazo hazina ushahidi madhubuti ila ni ile kitu waswahili tunasema "machale yanamcheza" kuwa anacheatiwa .

Ilifikia muda anaweza kuvunja mahusiano hadi mara 4 kwa mwezi na kuomba tena warudiane kwa sababu kila baada ya kuvunja anajihisi ni kama mpenzi wake hana tatizo lolote ila yeye ndo anajishitukia tu kila mara na wivu uliozidi kitu kilichopelekea ashindwe kabisa kujua ukweli je yeye ndo anatatizo la kutokujiamini na wasiwasi uliojaa wivu au ni kweli mpenzi wake huyo anatabia za kucheat.

Waliendelea hivyo hadi ikafikia mpenzi wake akawa anamwambia akue ana tabia za kitoto na ambazo haziendani na elimu yake( jamaa alikuwa mwaka wa 5 chuo anasoma MD , wakati demu wake aliishia form 4 na kwa wakati huo alikuwa anajifunza mamabo ya salon). Hii ni kwa sababu alikuwa hana msimamo unaoeleweka. Mambo hayakuishia hapo ilifikia muda jamaa anaulizwa kuwa unataka kupendwaje ? kama mtoto ? mana alikuwa anahisi demu hampendi. Mara anaambiwa yaani we kila siku kulaumu tu hakuna kufurahi kutwa kuhisi unacheatiwa tu au we ndo unacheat ??? Haya maswali yalikuwa yanamchanganya sana jamaa hadi anashindwa kujua lipi ni lipi.

Tukirudi kwenye kichwa cha habari, hili tatizo huwa linaweza sababishwa na pande zote mbili , yaani inaweza kuwa ni :

1.Kweli mpenzi wa jamaa alikuwa anacheat

2.Demu hakuwa na shida ila jamaa alikuwa na tatizo la haiba (personality) katika kipengele cha NEUROTICISM ambapo hawa watu wanaitwaga NEUROTICS.

3.Matatizo yote mawili hapo juu yalikuwepo.(na kulingana na maelezo ya jamaa na jinsi mimi nlivoliona hilo swala tulikubaliana kuwa wote walikuwa na tatizo)

Sasa sababu namba 1 hapo juu wengi wanaijua vizuri ila ya 2 ndo wengi hawaijui , kitu ambacho husababisha watu kushindwa kudumisha mahusiano yao na wapenzi au ndugu zao na kuishia kulalamika kila mara na kukosa imani na bunadamu wenzao bila kujua sababu ya msingi huku wakiona wenzao wanamahusiano mazuri tu.

Kiufupi NEUROTICISM ni mojawapo ya personality trait kati ya trait 5 kutoka kwenye BIG 5 PERSONALITY MODEL ambayo ni model inayojaribu kuelezea haiba (personality ) za watu wote kwa kutumia traits 5. Leo tutaongelea NEUROTICISM na jinsi ambavyo inaathiri maisha yako especially mahusiano yako na mpenzi wako ndugu ,jamaa na marafiki.

Kwanza kabisa tuanze na nini maana ya personality au haiba : kwa kifupi na lugha iliyozoeleka hii ni tabia ya mtu, hapa utakutana na watu wanasema yule mdada ni mkimya na mpole au yule mropokaji na mwongeaji kama cherehani, mvivu kwa mchapa kazi, mchafu kwa msafi, wengine ni bendera kifata upepo wakati wengine wanapenda uniqueness, wabishi kwa wasiopenda makuu na mtu, wabinafsi kwa watowao msaada, wapenda sifa kwa wasiopenda kujionesha,wale wanaopenda kulalamika kila muda kwa wale wanaopenda kuchukulia mambo simple.

Ningeweza kuandika list ndefu sana isiyo na mwisho , na ndo mana wenzetu wakazigawanya hizo sifa za kitabia (traits) katika makundi makubwa 5 tu mojawapo ikiwa ni NEUROTICISM ambayo kwa kifupi pia ni ile hali ya mtu kutapokea mambo kihasi( negatively).mfano nadhani kila mtu alishawahi kukutana na mtu ambae hachukulii mambo simple au waswahili wanasema anacomplicate mambo hadi anaharibu ( hawa ndo tunawaita NEUROTICS, kwa maana ya kwamba wana tabia ya kuchukulia mambo kwa HISIA HASI ( NEGATIVE EMOTIONS) wakati kuna watu wengine hawachukulii mambo kimaanani sana hata kama ni jambo baya anachukulia simple maisha yanaendelea( hawa hawachukulii mambo kwa NEGATIVE EMOTIONS sana)

Katika BIG 5 PERSONALITY MODEL kila trait ina scale yaani mfano katika trait ya NEUROTICISM kila binadamu analevel yake kwa maana ya kuwa kuna watu wana level ya juu ya NEUROTICISM katika haiba (personality )zao yaani wana negative emotions nyingi na ndio hawa tunawaita neurotics , wengine ya kati na wakati wengine ya chini kabisa. Sasa hapa kila kundi lina faida na hasara zake pia.

1. HIGH IN TRAIT NEUROTICISM(NEUROTICS)
Hawa jamaa bhana sifa yao kubwa ni machale yaani kila muda wanahisi jambo baya litatokea hata kama hawana sababu za msingi mifano yao ni hii:

  • Wanahisi watafeli mtihani hata kama wamesoma
  • Hawajiamini wanaogopa maisha
  • Wanaogopa kuanza kitu kipya kama biashara hobby au kutongiza kujivu swali darasani au kitu chochote

Mpaka wajiandae sana na kuona wako tiyari ndo waanze na mara nyingi fursa huwa zinawaacha au wanakuta zishachukuliwa
  • Wanaogopa kufilisika
  • Wanahisi wanasalitiwa kila mara hadi wanavunja mahusiano na kuomba kurudiana tena
  • Wanawafatilia wapenzi wao kupita kiasi , simu zao, nguo wanazovaa, sehemu wanaozenda, marafiki zao haswa wa jinsia tofauti, kiufupi wana wivu uliopitiliza na tabia ya kutaka kuwacontrol wpenzi wao hadi kuwakera
  • Hawaridhiki na hali yao ya maisha au mahusiano huwa wanahisi hawajafanikiwa vya kutosha au hawapendwi vya kutosha
  • Wanalalamika kila muda

FAIDA KWAO

- Wana uwezo wa kuona au kuhisi janga au kitu kibaya muda mrefu kabla ya watu wengine wote katika kazi zao au ndoa au familia zao ila mara nyingi hupuuzwa kwa mazoea ya kuwa wanacomplicate.mpaka pale limeyokea ndo watu wanashituka kuwa kumbe jamaa alisemaga ukweli.

- Wanachukua tahadhari dhidi ya maisha mabaya au mahusiano mabaya mapema kwa kufanya kazi kwa bidii kutokuharibu fedha ovyo au kuepuka marafiki wapenzi na biashara zenye mashaka.

HASARA KWAO
  • Hawaridhiki hivyo kulalamika kila muda na kuharibu morali ya wafanyakazi wenzao au marafiki ndugu na wapenzi wao yani kila muda anaongelea mambo kwa jicho la huzuni na kuharibu mzuka au furaha ya watu wanaowazunguka
  • Mahusiano yao huwa hayadumu either marafiki ndugu jamaa na mapenzi
  • Hawana msimamo wa kihisia yaani wako EMOTIONALY UNSTABLE ndio mana utawakuta wanahisia hili mara lile kila muda wamekaa kimachale mara waseme tuachane afu kesho tu turudiane
  • Ni ngumu hawa jamaa kuwa na furaha , mara nyingi hutengwa au kuachwa na wapenzi wao na kuanza kulaumiwa kuwa wako negative sana na wanaharibu vibe za wengine kwa sababu jamii yenyewe haina uelewa wa psychology ya binadamu na haijui kuwa hili sio jambo la kujitakia ni kwamba hii ni haiba ya mtu anazaliwa nayo kama rangi ya ngozi yake hawezi kuibadilisha kabisa labda kuicontrol tuuu!!!

2.LOW IN NEUROTICISM
Sifa kuu ya hawa jamaa ni kuwa wao ni kinyume cha hapo juu yaani ni wale jamaa unakuta anajiamini na kuchukulia mambo simple sana na fresh tu, hajiandai, anaamini mambo yataenda vizuri tu, wanajipa moyo sana, hawachunguzi wala kucomplicate mambo yaani akiwaza biashara flani hajisumbui kusubiri sijui location au mtaji mkubwa au sijui wateja mara kuja huku jamii forum kuuliza kwa wengine aanzie wapi na hana maswali mengi sana bali yeye anachukua mtaji na kuanza biashara na mara nyingi akiotea huwa anatusua sana ila akiwa amekosea mpaka ashituke mtaji ushakufa kisa kuamini mambo yatakuwa safi tu yaani ashachelewa kitambo.

FAIDA NA HASARA NI KINYUME CHA WALE WA MWANZO.

3.WALE WA KATIKATI(middle)
Hawa hawako juu wala chini ko wamebalance.

NOTE:
1 Personality ya mtu anazaliwa nayo hajitakii kama jinsi jamii inavyowalaumu watu juu ya personality zao, ila inaweza kuwa controlled kiasi haswa katika umri mdogo kabla ya miaka 30-40.

2:ninaposema mtu ni neurotic haimaanishi kila kitu na kila muda yeye anachukulia negatively bali namaanisha vitu vingi na mara nyingi anachukulia vitu negatively ila kuna muda anakuwaga positive mara moja moja lakini.

3:kama nlivoelezea hapo juu kila upande una faida na hasara zake ko usije dhani neurotics ni hasara kwa jamii na hawafanikiwi na wale wasio neurotics ndio wazima na wanafanikiwa kimaisha na mahusiano kuliko wenzao , kila mtu anaweza kufanikiwa endapo tu atakuwa anajielewa yuko upande upi na afanye nini ili apunguze hasara zilizo upande wake na kuchukua faida tu.

4: NEUROTICISM ni kipengele kimojawapo tu kati ya vitano viabacyounda haiba au personality nzima ko kila kipengele kinachangia katika personality yako na jinsi unavoishi na mafanikio yako . Kwa hiyo ni muhimu kujua vipengele vingine 4 vilivyobaki ili ujue uko upande upi wa kila kipengele na faida na hasara ya kila upande.kama mungu akipenda tutavizungumzia siku nyingine kimoja baada ya kingine ili tujue jinsi gani vinaathiri maisha yako.

5:Mwisho kabisa mimi kama mwanfishi najijua niko upande wa neurotics ndo maana ilikuwa rahisi sana kumjua jamaa angu shida yake ni ipi, sasa je wewe kwa maelezo hapo juu unaangukia upande upi wa shilingi na kwa sababu zipi ?reply hapa chini ili watu waamini kuwa hawako peke yao.
 
Nna mshikaji wangu mmoja ata tukiangalia mpira timu ime zidiwa kila kitu na ishafungwa magoli yeye anasemaga zinarudi izi wee tulia..namuonaga chizi mda mwengine tunakosana kwa kuchukulia mambo simple
 
Ijapokuwa ni ndefu sana nimekuwa mvivu kusoma hadi mwisho. Ila nitachangia kidogo.

Hiyo mambo inategemea na wewe jinsi gani umewekeza hisia zako kwake na mazingira uliyomkuta nayo au yaliyomzunguka.

Mfano, unaopoa posi kali, halafu rekodi yako ya kuopoa pisi kali ni ya kusua sua basi unajikuta umewekeza hisia zako pale. Sasa pisi yenyewe sasa inafanya kazi saloon, spa, inacheza vikoba, cassino, au ni mtu wa kusafiri safiri na sehemu zinazofanana na hizo. Hizo zote ni sehemu hatarishi , mbususa inaweza kuliwa wakati wowote kutokana na makundi ya watu na mashoga waliomzunguka. Sasa kama hisia zako zako na akili umeweka kwa huyo demu utapata shida sana.
 
km kuba ukweli hvi
 
ndio maana najiwekaga pembeni mapemaaa

Nisije kuumia bure, moyo wangu naupenda sana
 
Kuna hali flani katika mahusiano ambayo si kila mtu anaijua ila kuna baadhi huwakuta na huwafanya washindwe kudumisha mahusiano yao. Kuna rafiki yangu mmoja aliwahi kuniomba ushauri kuwa mpenzi hana imani na mpenzi wake anahisi anamcheat huku mpenzi wake akikataa uzushi ule ,kitu kilichopelekea wakawa na ugomvi wa mara kwa mara na mahusiano kukosa furaha.

Hali hii iliendelea na kusababisha jamaa kuwa anavunja mahusiano ila hamalizi hata siku mbili anamwomba msamaha mpenzi wake, hii ni kutokana na kuwa alikuwa anavunja mahusiano kwa kutumia sababu ambazo hazina ushahidi madhubuti ila ni ile kitu waswahili tunasema "machale yanamcheza" kuwa anacheatiwa .

Ilifikia muda anaweza kuvunja mahusiano hadi mara 4 kwa mwezi na kuomba tena warudiane kwa sababu kila baada ya kuvunja anajihisi ni kama mpenzi wake hana tatizo lolote ila yeye ndo anajishitukia tu kila mara na wivu uliozidi kitu kilichopelekea ashindwe kabisa kujua ukweli je yeye ndo anatatizo la kutokujiamini na wasiwasi uliojaa wivu au ni kweli mpenzi wake huyo anatabia za kucheat.

Waliendelea hivyo hadi ikafikia mpenzi wake akawa anamwambia akue ana tabia za kitoto na ambazo haziendani na elimu yake( jamaa alikuwa mwaka wa 5 chuo anasoma MD , wakati demu wake aliishia form 4 na kwa wakati huo alikuwa anajifunza mamabo ya salon). Hii ni kwa sababu alikuwa hana msimamo unaoeleweka. Mambo hayakuishia hapo ilifikia muda jamaa anaulizwa kuwa unataka kupendwaje ? kama mtoto ? mana alikuwa anahisi demu hampendi. Mara anaambiwa yaani we kila siku kulaumu tu hakuna kufurahi kutwa kuhisi unacheatiwa tu au we ndo unacheat ??? Haya maswali yalikuwa yanamchanganya sana jamaa hadi anashindwa kujua lipi ni lipi.

Tukirudi kwenye kichwa cha habari, hili tatizo huwa linaweza sababishwa na pande zote mbili , yaani inaweza kuwa ni :

1.Kweli mpenzi wa jamaa alikuwa anacheat

2.Demu hakuwa na shida ila jamaa alikuwa na tatizo la haiba (personality) katika kipengele cha NEUROTICISM ambapo hawa watu wanaitwaga NEUROTICS.

3.Matatizo yote mawili hapo juu yalikuwepo.(na kulingana na maelezo ya jamaa na jinsi mimi nlivoliona hilo swala tulikubaliana kuwa wote walikuwa na tatizo)

Sasa sababu namba 1 hapo juu wengi wanaijua vizuri ila ya 2 ndo wengi hawaijui , kitu ambacho husababisha watu kushindwa kudumisha mahusiano yao na wapenzi au ndugu zao na kuishia kulalamika kila mara na kukosa imani na bunadamu wenzao bila kujua sababu ya msingi huku wakiona wenzao wanamahusiano mazuri tu.

Kiufupi NEUROTICISM ni mojawapo ya personality trait kati ya trait 5 kutoka kwenye BIG 5 PERSONALITY MODEL ambayo ni model inayojaribu kuelezea haiba (personality ) za watu wote kwa kutumia traits 5. Leo tutaongelea NEUROTICISM na jinsi ambavyo inaathiri maisha yako especially mahusiano yako na mpenzi wako ndugu ,jamaa na marafiki.

Kwanza kabisa tuanze na nini maana ya personality au haiba : kwa kifupi na lugha iliyozoeleka hii ni tabia ya mtu, hapa utakutana na watu wanasema yule mdada ni mkimya na mpole au yule mropokaji na mwongeaji kama cherehani, mvivu kwa mchapa kazi, mchafu kwa msafi, wengine ni bendera kifata upepo wakati wengine wanapenda uniqueness, wabishi kwa wasiopenda makuu na mtu, wabinafsi kwa watowao msaada, wapenda sifa kwa wasiopenda kujionesha,wale wanaopenda kulalamika kila muda kwa wale wanaopenda kuchukulia mambo simple.

Ningeweza kuandika list ndefu sana isiyo na mwisho , na ndo mana wenzetu wakazigawanya hizo sifa za kitabia (traits) katika makundi makubwa 5 tu mojawapo ikiwa ni NEUROTICISM ambayo kwa kifupi pia ni ile hali ya mtu kutapokea mambo kihasi( negatively).mfano nadhani kila mtu alishawahi kukutana na mtu ambae hachukulii mambo simple au waswahili wanasema anacomplicate mambo hadi anaharibu ( hawa ndo tunawaita NEUROTICS, kwa maana ya kwamba wana tabia ya kuchukulia mambo kwa HISIA HASI ( NEGATIVE EMOTIONS) wakati kuna watu wengine hawachukulii mambo kimaanani sana hata kama ni jambo baya anachukulia simple maisha yanaendelea( hawa hawachukulii mambo kwa NEGATIVE EMOTIONS sana)

Katika BIG 5 PERSONALITY MODEL kila trait ina scale yaani mfano katika trait ya NEUROTICISM kila binadamu analevel yake kwa maana ya kuwa kuna watu wana level ya juu ya NEUROTICISM katika haiba (personality )zao yaani wana negative emotions nyingi na ndio hawa tunawaita neurotics , wengine ya kati na wakati wengine ya chini kabisa. Sasa hapa kila kundi lina faida na hasara zake pia.

1. HIGH IN TRAIT NEUROTICISM(NEUROTICS)
Hawa jamaa bhana sifa yao kubwa ni machale yaani kila muda wanahisi jambo baya litatokea hata kama hawana sababu za msingi mifano yao ni hii:

  • Wanahisi watafeli mtihani hata kama wamesoma
  • Hawajiamini wanaogopa maisha
  • Wanaogopa kuanza kitu kipya kama biashara hobby au kutongiza kujivu swali darasani au kitu chochote

Mpaka wajiandae sana na kuona wako tiyari ndo waanze na mara nyingi fursa huwa zinawaacha au wanakuta zishachukuliwa
  • Wanaogopa kufilisika
  • Wanahisi wanasalitiwa kila mara hadi wanavunja mahusiano na kuomba kurudiana tena
  • Wanawafatilia wapenzi wao kupita kiasi , simu zao, nguo wanazovaa, sehemu wanaozenda, marafiki zao haswa wa jinsia tofauti, kiufupi wana wivu uliopitiliza na tabia ya kutaka kuwacontrol wpenzi wao hadi kuwakera
  • Hawaridhiki na hali yao ya maisha au mahusiano huwa wanahisi hawajafanikiwa vya kutosha au hawapendwi vya kutosha
  • Wanalalamika kila muda

FAIDA KWAO
- Wana uwezo wa kuona au kuhisi janga au kitu kibaya muda mrefu kabla ya watu wengine wote katika kazi zao au ndoa au familia zao ila mara nyingi hupuuzwa kwa mazoea ya kuwa wanacomplicate.mpaka pale limeyokea ndo watu wanashituka kuwa kumbe jamaa alisemaga ukweli.

- Wanachukua tahadhari dhidi ya maisha mabaya au mahusiano mabaya mapema kwa kufanya kazi kwa bidii kutokuharibu fedha ovyo au kuepuka marafiki wapenzi na biashara zenye mashaka.

HASARA KWAO
  • Hawaridhiki hivyo kulalamika kila muda na kuharibu morali ya wafanyakazi wenzao au marafiki ndugu na wapenzi wao yani kila muda anaongelea mambo kwa jicho la huzuni na kuharibu mzuka au furaha ya watu wanaowazunguka
  • Mahusiano yao huwa hayadumu either marafiki ndugu jamaa na mapenzi
  • Hawana msimamo wa kihisia yaani wako EMOTIONALY UNSTABLE ndio mana utawakuta wanahisia hili mara lile kila muda wamekaa kimachale mara waseme tuachane afu kesho tu turudiane
  • Ni ngumu hawa jamaa kuwa na furaha , mara nyingi hutengwa au kuachwa na wapenzi wao na kuanza kulaumiwa kuwa wako negative sana na wanaharibu vibe za wengine kwa sababu jamii yenyewe haina uelewa wa psychology ya binadamu na haijui kuwa hili sio jambo la kujitakia ni kwamba hii ni haiba ya mtu anazaliwa nayo kama rangi ya ngozi yake hawezi kuibadilisha kabisa labda kuicontrol tuuu!!!

2.LOW IN NEUROTICISM
Sifa kuu ya hawa jamaa ni kuwa wao ni kinyume cha hapo juu yaani ni wale jamaa unakuta anajiamini na kuchukulia mambo simple sana na fresh tu, hajiandai, anaamini mambo yataenda vizuri tu, wanajipa moyo sana, hawachunguzi wala kucomplicate mambo yaani akiwaza biashara flani hajisumbui kusubiri sijui location au mtaji mkubwa au sijui wateja mara kuja huku jamii forum kuuliza kwa wengine aanzie wapi na hana maswali mengi sana bali yeye anachukua mtaji na kuanza biashara na mara nyingi akiotea huwa anatusua sana ila akiwa amekosea mpaka ashituke mtaji ushakufa kisa kuamini mambo yatakuwa safi tu yaani ashachelewa kitambo.

FAIDA NA HASARA NI KINYUME CHA WALE WA MWANZO.

3.WALE WA KATIKATI(middle)
Hawa hawako juu wala chini ko wamebalance.

NOTE:
1 Personality ya mtu anazaliwa nayo hajitakii kama jinsi jamii inavyowalaumu watu juu ya personality zao, ila inaweza kuwa controlled kiasi haswa katika umri mdogo kabla ya miaka 30-40.

2:ninaposema mtu ni neurotic haimaanishi kila kitu na kila muda yeye anachukulia negatively bali namaanisha vitu vingi na mara nyingi anachukulia vitu negatively ila kuna muda anakuwaga positive mara moja moja lakini.

3:kama nlivoelezea hapo juu kila upande una faida na hasara zake ko usije dhani neurotics ni hasara kwa jamii na hawafanikiwi na wale wasio neurotics ndio wazima na wanafanikiwa kimaisha na mahusiano kuliko wenzao , kila mtu anaweza kufanikiwa endapo tu atakuwa anajielewa yuko upande upi na afanye nini ili apunguze hasara zilizo upande wake na kuchukua faida tu.

4: NEUROTICISM ni kipengele kimojawapo tu kati ya vitano viabacyounda haiba au personality nzima ko kila kipengele kinachangia katika personality yako na jinsi unavoishi na mafanikio yako . Kwa hiyo ni muhimu kujua vipengele vingine 4 vilivyobaki ili ujue uko upande upi wa kila kipengele na faida na hasara ya kila upande.kama mungu akipenda tutavizungumzia siku nyingine kimoja baada ya kingine ili tujue jinsi gani vinaathiri maisha yako.

5:Mwisho kabisa mimi kama mwanfishi najijua niko upande wa neurotics ndo maana ilikuwa rahisi sana kumjua jamaa angu shida yake ni ipi, sasa je wewe kwa maelezo hapo juu unaangukia upande upi wa shilingi na kwa sababu zipi ?reply hapa chini ili watu waamini kuwa hawako peke yao.
fundinaizer na joseph_mbeya njooni hapa mjisomee kuhusu tatizo tulilo nalo
 
Back
Top Bottom