Pre GE2025 Wasira: CHADEMA Urais mtauona kwenye Runinga pekee

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Aug 29, 2022
794
1,676
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Stephen Wasira, ameikaribisha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA katika uchaguzi lakini ameipa angalizo kuwa isitatarajie kuambulia chochote katika nafasi ya urais.

Soma Pia: Wasira atupa vijembe kwa Chadema, adai wakienda ikulu watagawana hadi vikombe

Wasira ameyasema hayo jana Januari 30, 2025, alipokuwa akizungumza kwenye mkutano wa hadhara na wananchi wa Bunda mjini.

"...wapo rafiki zetu nao wanataka nchi hii wanataka tuwaachie ..." Ushahidi unaendelea kutolewa kuwa CCM ndio inaamua ushindi na sio wananchi. Kama ni wananchi si angesema: wapo rafiki zetu nao wanataka kupewa ridhaa ya kuongoza nchi na wananchi. Halafu, kutaka kuongoza dola ni lengo kuu la chama cha siasa.
 
Halafu Mzee akijibiwa na akina "Tundu Lissu and the Gang" wa CHADEMA sasa hivi ataanza kulia lia sasa hivi kwamba vijana wanamvua nguo!
 
Hiyu amelaanika, ndiyo maana ameamua kumalizia uzee wake kwa aibu.
Huwa mnafurahisha sana! Mtu akiwa tofauti na matamanio yenu, mnamuona punguani. JF anzeni kuwa objective! Lazima hapa duniani kuwe na Pande mbili. Tuliona juzi Mbowe na Lissu, simba na Yanga, mwanaume na mwanamke! Ccm na CDM ndiyo maisha na kila upande unashindana kwa hoja. Nguvu ya hoja si kutumia hoja za nguvu.
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Stephen Wasira, ameikaribisha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA katika uchaguzi lakini ameipa angalizo kuwa isitatarajie kuambulia chochote katika nafasi ya urais.

Soma Pia: Wasira atupa vijembe kwa Chadema, adai wakienda ikulu watagawana hadi vikombe

Wasira ameyasema hayo jana Januari 30, 2025, alipokuwa akizungumza kwenye mkutano wa hadhara na wananchi wa Bunda mjini.

Huyu Mzee ni zezeta
 
Huwa mnafurahisha sana! Mtu akiwa tofauti na matamanio yenu, mnamuona punguani. JF anzeni kuwa objective! Lazima hapa duniani kuwe na Pande mbili. Tuliona juzi Mbowe na Lissu, simba na Yanga, mwanaume na mwanamke! Ccm na CDM ndiyo maisha na kila upande unashindana kwa hoja. Nguvu ya hoja si kutumia hoja za nguvu.
Hapo unaona umekuwa objective mkuu?!
 
Nothing lasts forever
Kwa opposition ipi?within 21 years mbowe akuona mtu ambaye angeweza kuiongoza cdm imagine angekua rais mwenye mamlaka na vyombo vyote vya ulinzi ingekuaje!,siifagilii ccm ila uchaguzi wenu umenionyesha upinzani kuna watu wa aina gani
 
"...wapo rafiki zetu nao wanataka nchi hii wanataka tuwaachie ..." Ushahidi unaendelea kutolewa kuwa CCM ndio inaamua ushindi na sio wananchi. Kama ni wananchi si angesema: wapo rafiki zetu nao wanataka kupewa ridhaa ya kuongoza nchi na wananchi. Halafu, kutaka kuongoza dola ni lengo kuu la chama cha siasa.
Tena anaendelea kusema kwamba ccm imejipanga kushinda kwa kishindo, hii maana yake ni kwamba hawategemei kura za wananchi kushinda uchaguzi, kwa sababu huwezi kusema umejipanga kushinda ikiwa hujui ni wananchi wangapi watakupigia kura
 
Back
Top Bottom