Tatizo lilikuwa wapi, wewe lazima uone tatizo sababu timu sio yako.Mimi tamasha lenu hata sikulitizama sababu kwangu halikuwa na mvuto.
Mnazungumzia muda,huwezi fananisha matukio ya timu iliyo chukua makombe mawili na timu ambayo ilikuwa haijabeba chochote, maana tulitambulisha mpaka makombe, sema tulisahau kitu kimoja kama ingewezekana tungeweza highlight ya timu zote zilizokula goli 5+ na kuendelea msimu uliopita.
Halafu hukuitwa wala kulazimishwa kuangalia Yanga day,pili uwanja mali ya serikali sio wako tatu baada ya lile tamasha kulikuwa na after party Tips kwa hiyo sikuona tatizo.
Tamasha la Yanga limewafanya msahau ujinga wenu mlioufanya kwa Manula na upuuzi wenu mlioufanya kwa Lawi, deal na timu yako na ndio maana nimesema baada ya tarehe nane ndio mtaanza kumkumbuka Manula,kubuma kwa usajili wa Lawi,Bill 10 then na ule wimbo wenu wa maarufu wa Mangungu hafai,huku mkiyatafuta maduka mapya.