Wasifu wa Dr. Peter Richard Kisenge Mkurugenzi mtendaji wa taasisi ya moyo ya jakaya kikwete JKCI

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
3,426
7,804
Wadau hamjamboni nyote?

Nimeweka CV ya mhusika

Mchana mwema

• M.D -Dr. Peter Richard Kisenge -SUPER SPECIALIST

• Registration No: 350

QUALIFICATION(S):

• MD(2002) - Tumaini University Kcm College
• M.MED - Internal Medicine)(2007) - •Tumaini University Kcm College
• MSc - Cardiology (2011) - Muhimbili University Of Health And Allied Sciences

• EXECUTIVE DIRECTOR JKCI

Profile:
Dr. Peter Kisenge is a Consultant Interventional Cardiologist and Executive Director of Jakaya Kikwete Cardiac Institute, in Dar es Salaam, Tanzania.

SPECIALITY:
• Cardiology Interventional
• Cardiology Non-Communicable Disease
• Cardiovascualr Health Research and Training

• REGISTRATION STATUS:
Registered and allowed to practice as SUPER SPECIALIST

Copyright@ 2024. All rights are reserved by Medical Council of Tanganyika

gkSu7GIu1ritmfiw19aTO7PlzzZIaUNnsp5u13Qa.jpg
 
Wadau hamjamboni nyote?

Nimeweka CV ya mhusika

Mchana mwema

M.D., M.MED., MSc Cardiology

Executive Director JKCI

Profile
Dr. Peter Kisenge is a Consultant Interventional Cardiologist and Executive Director of Jakaya Kikwete Cardiac Institute, in Dar es Salaam, Tanzania.

Speciality
Cardiology Interventional Cardiology Non-Communicable Disease Cardiovascualr Health Research and Training
Imemkata,Janabi ndio kateukiwa kuwa Mgombea WHO-Africa
 
Ama roho za korosho zinawasumbua sana.
Chimbeni zaidi CV Kuna madokta maelfu Tanzania.
Dr Janabi ana sifa za TIBA na UONGOZI -hizo ndio sifa kuu kwa kazi hiyo ya WHO.
Huko WHO hakuna operation theater ya upasuaji wa moyo au magonjwa mengine ambayo mgombea atategewa kufanya.
 
Uyu Mwanba anapiga kazi sana, kama ingekua ni kazi yake binafsi nafikiri angekua namafanikio makubwa sana.
Saa kumi na nusu Alfajiri yupo pale amesha anza kuonana na wagonjwa, mida ya saa 2 au tatu usiku bado yupo pale Hospitali mi sijajua jamaa uwa analala saangapi.
Sasa sijui anaishi karibu au ndio amesha zoea kazi!!
Mara nyingi kama si zote yeye ndie daktari wa kwanza kuanza kutoa huduma kila ninapo pata nafasi ya kumpeleka mgonjwa wangu kuhudhuria clinic yake pale JKC.
 
M
Wadau hamjamboni nyote?

Nimeweka CV ya mhusika

Mchana mwema

•M.D
•M.MED
•MSc Cardiology

Executive Director JKCI

Profile:
Dr. Peter Kisenge is a Consultant Interventional Cardiologist and Executive Director of Jakaya Kikwete Cardiac Institute, in Dar es Salaam, Tanzania.

Speciality:
•Cardiology Interventional
•Cardiology Non-Communicable Disease
•Cardiovascualr Health Research and Training
Murakoze chanyere
Tusubiri masaa yatareraaa
 
MKUUU
SIO YEYE KAFUNZWA NA WAZAZI KALELELWA MUNGU AWABARIKI SANA WAZAZI WAKE KAMA WAPO DUNIAN NA HUKO WALIPO KAMA HAWAPO HAI

KUIPENDA KAZI YAKO KUNAANZIA NA MALEZI YA MZAZII..
B BLSD DK
 
Uyu Mwanba anapiga kazi sana, kama ingekua ni kazi yake binafsi nafikiri angekua namafanikio makubwa sana.
Saa kumi na nusu Alfajiri yupo pale amesha anza kuonana na wagonjwa, mida ya saa 2 au tatu usiku bado yupo pale Hospitali mi sijajua jamaa uwa analala saangapi.
Sasa sijui anaishi karibu au ndio amesha zoea kazi!!
Mara nyingi kama si zote yeye ndie daktari wa kwanza kuanza kutoa huduma kila ninapo pata nafasi ya kumpeleka mgonjwa wangu kuhudhuria clinic yake pale JKC.
Safi sana. Sura inaonekana Chapombe kumbe mtu anashinda job. Kudos
 
Wadau hamjamboni nyote?

Nimeweka CV ya mhusika

Mchana mwema

•M.D
•M.MED
•MSc Cardiology

Executive Director JKCI

Profile:
Dr. Peter Kisenge is a Consultant Interventional Cardiologist and Executive Director of Jakaya Kikwete Cardiac Institute, in Dar es Salaam, Tanzania.

Speciality:
•Cardiology Interventional
•Cardiology Non-Communicable Disease
•Cardiovascualr Health Research and Training
Hili jina limekaa kisenge kisenge! Hivi ni kweli anaitwa Dr. Kisenge?
 
Wadau hamjamboni nyote?

Nimeweka CV ya mhusika

Mchana mwema

• M.D -Dr. Peter Richard Kisenge -SUPER SPECIALIST

• Registration No: 350

QUALIFICATION(S):

• MD(2002) - Tumaini University Kcm College
• M.MED - Internal Medicine)(2007) - •Tumaini University Kcm College
• MSc - Cardiology (2011) - Muhimbili University Of Health And Allied Sciences

• EXECUTIVE DIRECTOR JKCI

Profile:
Dr. Peter Kisenge is a Consultant Interventional Cardiologist and Executive Director of Jakaya Kikwete Cardiac Institute, in Dar es Salaam, Tanzania.

SPECIALITY:
• Cardiology Interventional
• Cardiology Non-Communicable Disease
• Cardiovascualr Health Research and Training

• REGISTRATION STATUS:
Registered and allowed to practice as SUPER SPECIALIST

Copyright@ 2024. All rights are reserved by Medical Council of Tanganyika

Nani kakutuma?
 
Back
Top Bottom