Ni maisha yake na class yake...kutumia pesa hiyo kwake ni sehemu ya matumizi yake ya kila siku..sasa wewe Ryan unataka hiyo pesa alfred aigeuze Ulimbo wa kuwanasa hao ndege mnana...ryan mimi na wewe ndiyo inatakiwa tuwapangie matumizi kabisa...kwa maelezo yake abel hela ya matumizi hana tabu nayo yupo vizuri