Ni ukweli usiopingika wasichana wengi mtaolewa na bodaboda, wafanyabiashara, wanasiasa nk. Maana mkitegemea vijana wa chuo umri unaenda maana mpaka amalize chuo apate ajira ajipange na hizi ajira zinavyosumbua mnashida kwani mwanamke ukianza kuvuka 25" kuolewa kwa manati ukifiisha 30 daa! Labda ujizalie tu, shitukeni kina dada hao masharaboro wa chuo si waoaji kabisa ni wachezeaji mtaishia kumegwa.